Kuna mpaka zinazoenda dakika kabisa na nusu....Ukitaka kuamini King'amuzi ni King'amuzi angalizia hiyo stream yako karibu na wanaocheki kwa TV. Wanaanza wao kushangilia sekunde 10 baadae unafata wewe.
Ni sawa ukae na mtu anayesikiliza mpira kwa redio. Dunia ya sasa watu wanataka vitu in realtime hizo IPTV ni nyongeza tu.