Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kuna sehemu unabonyeza kubadili lughaWanazingua wanavyotafsiri asee kwani hiyo dekoda ya azam wanatumia wazaramo peke yake???
Ebu tuambie unatumia dekoda ipi na ubora wake utueleze huko usamako SIMBA YANGA tutawakuta,,kingine yawezekana ata kuko kwenu wasiwe na dekoda kabisaWanazingua wanavyotafsiri asee kwani hiyo dekoda ya azam wanatumia wazaramo peke yake???