Azam tv yashinda tena tenda ya kuonyesha VPL

Tatizo tunashindwa kuthamini hata kidogo tulichokipata, ukilinganisha mkataba ulioisha na huu walioingia nadhani ilibidi tuwapingeze TFF kwa hatua waliopiga.
Tusipende kupinga kila kitu inachokifanya TFF ya malinzi, anapostahili pongezi tumpe tu.
 
Hata hivyo hakuna mpinzani wa kweli.. TBC walijaribu wakajikuta wanaishiwa pumzi
 
1. Azam ni kituo bora sana, wameonyesha wanaweza kwa vigezo vyote vya ukanda huu, na
pia ni reliable
2. Natamani kusikia malalamiko kutoka kwa hao wanaodaiwa ku -bid, na waseme wao
wangefanya nini zaidi kuliko Azam Tv huku pia wakiweka mifano hai kwa mfano uzoefu
wao.
3. Pamoja na uzuri wa Azam Tv, lkn mkataba wa 5 years ni mrefu sana, hapa TFF ilipaswa
kuwa makini zaidi.
 
Nani kakudanganya azam media ni wawekezaji wa ndani?
Huo bubora azam waliupata lini na wapi?
Je, zaidi ya kuonesha ligi za east afrika ni ligiganinyingine walizoonesha mpaka wawe bora kiasi hicho? Mahaba niue
We pimbi la liga hujaiona kupitia azam?
 
Watu tuache unafiki tofaut na Dstv supersport hakuna media kama Azam Hd yakuonesha mpira live Watu elewen hilo Azam yuko vizuri sana. Afu tuwe na tabia ya kupenda wawekezaji wa ndani kuliko ao startimes.
StarTimes ina ushosti na Serikali kupitia TBC, nadhani ni zaidi ya mwekezaji wa ndani. Halafu na Azam wana mgongano wa maslahi kwenye ligi, kuwaondoa ni jambo jema zaidi.
 
Na unajua kwamba Startimes tangu ikanyage nchini haijawahi kuipa senti tano TBC kwa kisingizio cha hasara! Still Bado wapo kwenye biashara na bado wanafanya uwekezaji mpya sehemu ambayo ina hasara!
 
Upo mbali na ulimwengu wa habari, endelea kupika. Kila kitu kilikuwa wazi.
nikweli nipo mbali ninaomba uniambie tu iyo tenda ilitangazwa lini na mshindani wa Azam alikuwa ni nani na nani?ili nielewe samahani kwa usumbufu mkuu.
 
Tatizo tunashindwa kuthamini hata kidogo tulichokipata, ukilinganisha mkataba ulioisha na huu walioingia nadhani ilibidi tuwapingeze TFF kwa hatua waliopiga.
Tusipende kupinga kila kitu inachokifanya TFF ya malinzi, anapostahili pongezi tumpe tu.
Nope, kama alikuwepo mwekezaji aliyekuwa tayari kutoa mafao makubwa kwa vilabu kuliko hiki kinachotolewa leo, hatuna cha kupongeza. Tanzania kwa sasa haihitaji ushindani wa kamera kubwa kubwa bali udhamini mnono kwa vilabu ili kuleta ushindani na hivyo kuinua viwango. Fikiri kwa kutumia kichwa ndugu. Ndanda inayopewa 150,000,000/= kwa mwaka ikipata 300,000,000/= itakuwa bora zaidi. Ni mfano tu
 
Naomba unisaidie mimi na wanajukwaa wengine kutujuza waliobid wote na amount ya kila mtu ili tufanye comparison vizur.
Bila ivo zitakuwa blah blah kuamini kwamba kuna watu wengine waliweka mzigo mkubwa zaidi ya Azam.
 
Good night
 
Azam anahitaji support! Lkn kuna mitanzania humu still haijitambui, inawaona wawekezaji wa nje ndio dhahabu hata kama wanavuruga ni sawa tu, elimu elimu elimu..narudia tena elimu elimu elimu
 
Watu tuache unafiki tofaut na Dstv supersport hakuna media kama Azam Hd yakuonesha mpira live Watu elewen hilo Azam yuko vizuri sana. Afu tuwe na tabia ya kupenda wawekezaji wa ndani kuliko ao startimes.
Nina shaka na hichi unachosema maana hao star times unajua uwezo wao au nawe pia ni miongoni mwa wanafiki tenda haikutangazwa kisa nini?
 
Nani kakudanganya azam media ni wawekezaji wa ndani?
Huo bubora azam waliupata lini na wapi?
Je, zaidi ya kuonesha ligi za east afrika ni ligiganinyingine walizoonesha mpaka wawe bora kiasi hicho? Mahaba niue
Tumeambiwa kuwa mmiliki wake yuko Mauritius sijui hiyo Mauritius iko Tanzania mamluki wa masilahi hawa wanakuja kutetea ten percent zao hapa
 
Back
Top Bottom