runyaga
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 523
- 241
Takukuru watakufata wewe kwa ushahidi zaidi, sijui utakuwa tayari kuwapa ushirikiano?Hapo Malinz Alisha tangulizwa mpunga zaman Money Power Resp ect
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takukuru watakufata wewe kwa ushahidi zaidi, sijui utakuwa tayari kuwapa ushirikiano?Hapo Malinz Alisha tangulizwa mpunga zaman Money Power Resp ect
We pimbi la liga hujaiona kupitia azam?Nani kakudanganya azam media ni wawekezaji wa ndani?
Huo bubora azam waliupata lini na wapi?
Je, zaidi ya kuonesha ligi za east afrika ni ligiganinyingine walizoonesha mpaka wawe bora kiasi hicho? Mahaba niue
StarTimes ina ushosti na Serikali kupitia TBC, nadhani ni zaidi ya mwekezaji wa ndani. Halafu na Azam wana mgongano wa maslahi kwenye ligi, kuwaondoa ni jambo jema zaidi.Watu tuache unafiki tofaut na Dstv supersport hakuna media kama Azam Hd yakuonesha mpira live Watu elewen hilo Azam yuko vizuri sana. Afu tuwe na tabia ya kupenda wawekezaji wa ndani kuliko ao startimes.
Thanks for this... Umenikumbusha procument actThe contract is not necessarily
awarded to the highest bidder,
StarTimes ina ushosti na Serikali kupitia TBC, nadhani ni zaidi ya mwekezaji wa ndani. Halafu na Azam wana mgongano wa maslahi kwenye ligi, kuwaondoa ni jambo jema zaidi.
Upo mbali na ulimwengu wa habari, endelea kupika. Kila kitu kilikuwa wazi.iyo tenda ilitangazwa lini ?
nikweli nipo mbali ninaomba uniambie tu iyo tenda ilitangazwa lini na mshindani wa Azam alikuwa ni nani na nani?ili nielewe samahani kwa usumbufu mkuu.Upo mbali na ulimwengu wa habari, endelea kupika. Kila kitu kilikuwa wazi.
Unayo channeli mkuu au maneno mingi km panjuaniiyo tenda ilitangazwa lini ?
We nyau kweli, star times wanaonesha ligi nyingi kuliko hao azam wako kama hicho ndicho kipimo.We pimbi la liga hujaiona kupitia azam?
Nope, kama alikuwepo mwekezaji aliyekuwa tayari kutoa mafao makubwa kwa vilabu kuliko hiki kinachotolewa leo, hatuna cha kupongeza. Tanzania kwa sasa haihitaji ushindani wa kamera kubwa kubwa bali udhamini mnono kwa vilabu ili kuleta ushindani na hivyo kuinua viwango. Fikiri kwa kutumia kichwa ndugu. Ndanda inayopewa 150,000,000/= kwa mwaka ikipata 300,000,000/= itakuwa bora zaidi. Ni mfano tuTatizo tunashindwa kuthamini hata kidogo tulichokipata, ukilinganisha mkataba ulioisha na huu walioingia nadhani ilibidi tuwapingeze TFF kwa hatua waliopiga.
Tusipende kupinga kila kitu inachokifanya TFF ya malinzi, anapostahili pongezi tumpe tu.
Naomba unisaidie mimi na wanajukwaa wengine kutujuza waliobid wote na amount ya kila mtu ili tufanye comparison vizur.Nope, kama alikuwepo mwekezaji aliyekuwa tayari kutoa mafao makubwa kwa vilabu kuliko hiki kinachotolewa leo, hatuna cha kupongeza. Tanzania kwa sasa haihitaji ushindani wa kamera kubwa kubwa bali udhamini mnono kwa vilabu ili kuleta ushindani na hivyo kuinua viwango. Fikiri kwa kutumia kichwa ndugu. Ndanda inayopewa 150,000,000/= kwa mwaka ikipata 300,000,000/= itakuwa bora zaidi. Ni mfano tu
Good nightNaomba unisaidie mimi na wanajukwaa wengine kutujuza waliobid wote na amount ya kila mtu ili tufanye comparison vizur.
Bila ivo zitakuwa blah blah kuamini kwamba kuna watu wengine waliweka mzigo mkubwa zaidi ya Azam.
Nina shaka na hichi unachosema maana hao star times unajua uwezo wao au nawe pia ni miongoni mwa wanafiki tenda haikutangazwa kisa nini?Watu tuache unafiki tofaut na Dstv supersport hakuna media kama Azam Hd yakuonesha mpira live Watu elewen hilo Azam yuko vizuri sana. Afu tuwe na tabia ya kupenda wawekezaji wa ndani kuliko ao startimes.
Tumeambiwa kuwa mmiliki wake yuko Mauritius sijui hiyo Mauritius iko Tanzania mamluki wa masilahi hawa wanakuja kutetea ten percent zao hapaNani kakudanganya azam media ni wawekezaji wa ndani?
Huo bubora azam waliupata lini na wapi?
Je, zaidi ya kuonesha ligi za east afrika ni ligiganinyingine walizoonesha mpaka wawe bora kiasi hicho? Mahaba niue