set; Intersat 1500mh,Symbol Rate-Mega symbols 910, POLLALIZATION Horizontal.....Vp wadau wng wa nguvu km kuna mtu anafaham kuongeza frequence ktk king'amuz cha Azam na akapata stations znazoonyesha EPL na znginezo anipatie frequence nawaomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
set; Intersat 1500mh,Symbol Rate-Mega symbols 910, POLLALIZATION Horizontal.....Vp wadau wng wa nguvu km kuna mtu anafaham kuongeza frequence ktk king'amuz cha Azam na akapata stations znazoonyesha EPL na znginezo anipatie frequence nawaomba
Hapo cjaelewa kidogo mkuu nifahamishe vzrset; Intersat 1500mh,Symbol Rate-Mega symbols 910, POLLALIZATION Horizontal.....
Ukweli ni kwamba hutoweza kuona match zote, utakua unaona game 1 tu kwa wiki kupitia channel zilizo kwenye others nayo ni CRTV ka sijakosea. mbali na hapo huwezi mpaka uwe na dish kubwa na kisimbuzi maalum kwa ajili ya kufungua izo channelsVp wadau wng wa nguvu km kuna mtu anafaham kuongeza frequence ktk king'amuz cha Azam na akapata stations znazoonyesha EPL na znginezo anipatie frequence nawaomba
Kwangu mimi EPL sio lazima sana, wangejikita kuonesha mechi za CAF au bora ligi za Amerika Kusini.Watanzania tukae mkao wa kula.
Jana usiku mkombozi wa Afrika Mashariki, AZAM TV, ilitangaza kuanza mazungumzo kwa ajili ya kuonyesha EPL na LA LIGA moja kwa moja kuja majumbani kwetu yani live bila zengwe.
Ombi langu kwa Azam TV na UEFA; msitusahau tumenyanyasika sana.
Bravo sana Bakhresa!
=================
=================
Epl mara 100 ibaki huko huko supersport,azam wakiipata hiyo vifurushi vyao vinaweza kufika laki 2 kwa mwezi ndio uione eplIle EPL habari nyingine..!!
Kuwaondoa Supersport pale, au kuweka mzigo sawa na wao au chini kidogo yao ili Azam apewe hizo haki za matangazo inabidi wajikamue haswa.
Well said mkuumkuu kingamuzi cha azam kuanzia mwezi wa huu kukinunua ni zaid ya laki mbil. kwa hiyo hamna tofaut na dstv..sasa ya nn nichukue azam yenye chanel nying zszokuwa na tija.niache dstv ambayo ni world wide?...na channel over the world