Azam TV yatangaza kuanza mazungumzo EPL na La Liga

Azam TV yatangaza kuanza mazungumzo EPL na La Liga

Vp wadau wng wa nguvu km kuna mtu anafaham kuongeza frequence ktk king'amuz cha Azam na akapata stations znazoonyesha EPL na znginezo anipatie frequence nawaomba
set; Intersat 1500mh,Symbol Rate-Mega symbols 910, POLLALIZATION Horizontal.....
 
Vp wadau wng wa nguvu km kuna mtu anafaham kuongeza frequence ktk king'amuz cha Azam na akapata stations znazoonyesha EPL na znginezo anipatie frequence nawaomba
Ukweli ni kwamba hutoweza kuona match zote, utakua unaona game 1 tu kwa wiki kupitia channel zilizo kwenye others nayo ni CRTV ka sijakosea. mbali na hapo huwezi mpaka uwe na dish kubwa na kisimbuzi maalum kwa ajili ya kufungua izo channels
 
Watanzania tukae mkao wa kula.

Jana usiku mkombozi wa Afrika Mashariki, AZAM TV, ilitangaza kuanza mazungumzo kwa ajili ya kuonyesha EPL na LA LIGA moja kwa moja kuja majumbani kwetu yani live bila zengwe.

Ombi langu kwa Azam TV na UEFA; msitusahau tumenyanyasika sana.

Bravo sana Bakhresa!

=================
=================
Kwangu mimi EPL sio lazima sana, wangejikita kuonesha mechi za CAF au bora ligi za Amerika Kusini.
 
vip wadau kwasasa walishaanza kuonyesha EPL??
Sorry tena na kifushi chenye ligi za ndani ni kipi??
 
Ile EPL habari nyingine..!!

Kuwaondoa Supersport pale, au kuweka mzigo sawa na wao au chini kidogo yao ili Azam apewe hizo haki za matangazo inabidi wajikamue haswa.
 
Ukanjanja mwingi.Hata visimbuzi vyao kanjanja mara utasikia kimepiga IC
 
Ile EPL habari nyingine..!!

Kuwaondoa Supersport pale, au kuweka mzigo sawa na wao au chini kidogo yao ili Azam apewe hizo haki za matangazo inabidi wajikamue haswa.
Epl mara 100 ibaki huko huko supersport,azam wakiipata hiyo vifurushi vyao vinaweza kufika laki 2 kwa mwezi ndio uione epl
 
Back
Top Bottom