Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Inashangaza sana Azam/UTV ambacho inawezekana kikawa ni kituo kikubwa cha kitanzania kwa habari za kimataifa za Kiswahili nchini kumtumia mchambuzi mmoja tu wakati wote kijana aitwaye Rahby ambaye ni mnazi mkubwa wa Iran na Ayatollah na ni anti-west wa kutupwa.
Tunaelewa kuchambua siasa za nchini kwa uhuru na weledi haiwezekani tena zama hizi lakini huko nje nako msiboronge na kuvurunda hivi. Tafuteni wahadhiri magwiji kutoka UDSM na Nairobi University wafanye uchambuzi wa siasa za kimataifa kwa weledi zaidi.