ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 545
- 1,179
Hongera sana kwa wizara husika na mwekezaji azam yaani umefanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana tulipitia kipindi kigumu sana nahisi sasa ni wakati wa BRT kuangalia hili la uwekazaji wa azam waliofanga hapa kigamboni mtu unasikia Ata raha sasa kuishi kigamboni
BRT ebu fanyeni tathmini kumbe Aya mambo yanawezekana kuwapa watu binafsi
Azam hongera sana
BRT ebu fanyeni tathmini kumbe Aya mambo yanawezekana kuwapa watu binafsi
Azam hongera sana