Wameimarisha Huduma ya uvukaji kati ya Kivukoni na Kigamboni, awali kulikuwa na Kivuko kikubwa cha Serikali na vivuko viwili vya Azam maarufu kama Sea Taxi na kupitia vivuko hivi muda wa kusubiria kuvuka ulikua kati nusu saa hadi saa moja. Azam ameongeza Sea Taxi zingine kufikia 8 hivyo kupunguza kama sio kuondoka kabisa muda wa kusubiria, japo ameongeza nauli kutoka shilingi 200 hadi shilingi 500.Wamefanya nini?
Mtu na akili zako ukakae kigamboni. Kweli?Izo sea tax zao zinafunga kazi saa12 jioni waongeze mda