King Jody
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 1,834
- 3,456
Haiwezekani timu ikawa na kila kitu lakini wachezaji wanacheza utadhani wamefungiwa matofali miguuni,
Timu ina miundombinu ya kisasa kabisa kama vile uwanja mzuri, Gym nk
Wachezaji wanalipwa mishahara na bonus kwa wakati,
Ikiwezekana wachezaji wapewe adhabu ya kulima matikiti ,viboko mujarabu na barua ya kujieleza kwanini wafungwe kizembe,
Bila kusahau wakatwe na mishahara.
Wachezaji hawana ari kabisa, sijui wanabweteka na kitu gani.