[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaa ss mkuu azam embe ndio inacheza mpiraa..Labda azam embe
HakikaAzam wako serious sana msimu huu. Lakini pia unaweza kua msimu pekee kwenye historia ya Ligi kuu Tanzania Bara kwa wakati mmoja timu zote tatu kua kwenye ubora kuanzia uongozi imara (hakuna migogoro), ubora wa viwango vya wachezaji na timu zote tatu kua kwenye uchumi mzuri kifedha toka Azam apande daraja. Kwahiyo tutashuhudia mchuano mkali sana msimu huu toka kwa hizi timu tatu
Hiyo ni kazi kubwa waliyobaki nayo. Nadhani huwa wanacheza wakiwa hawana hisia hasi upande wao.wachezaji wa azam wanatakiwa wazifunge simba na yanga waondoe mental block..
Msimu huu tofauti, misimu mingine alikuwa anashinda 1 akizidi sana 2, ila msimu huu vipigo na heavy na anakutafuta mwanzo mwisho, .Kila msimu huwa hivi hivi,
Hawa azam kama baiskeli yenye matairi ya barafu, haifikagi mbali inayeyuka
Shida ya Azam sio kuzifunga simba na Yanga,wachezaji wa azam wanatakiwa wazifunge simba na yanga waondoe mental block..
Namsubiri Mikia FC atafanza nini gemu yao.Azam! Azam FC Hawa jamaa baada ya muda mrefu kujitafuta hatimaye naona wamejipata. Wanatembeza vipigo vikali bila kujali ni uwanja upi. Leo baada ya kumkanda Kagera Sugar goli 4 Kwa yai, nawastua wababe wa Kariakoo pale wasipostuka kuna mmojawao atachomoka top 2 pale.
Baada ya muda atarudi kwenye nafasi yake.Azam wako serious sana msimu huu. Lakini pia unaweza kua msimu pekee kwenye historia ya Ligi kuu Tanzania Bara kwa wakati mmoja timu zote tatu kua kwenye ubora kuanzia uongozi imara (hakuna migogoro), ubora wa viwango vya wachezaji na timu zote tatu kua kwenye uchumi mzuri kifedha toka Azam apande daraja. Kwahiyo tutashuhudia mchuano mkali sana msimu huu toka kwa hizi timu tatu