Azam wamejipanga, mapacha wa Kariakoo lazima wapambane

Azam wamejipanga, mapacha wa Kariakoo lazima wapambane

Kagera Sugar inashuka daraja ..
Safari hii wakulima wote kwenye ligi kuu huenda wakashuka daraja. Angalia wakulima wa miwa wa Kagera na Mtibwa! Na wale wakulima wa mounga kule Mbarali (hefu)! Wote hali ni tete.
 
Azam! Azam FC Hawa jamaa baada ya muda mrefu kujitafuta hatimaye naona wamejipata. Wanatembeza vipigo vikali bila kujali ni uwanja upi. Leo baada ya kumkanda Kagera Sugar goli 4 Kwa yai, nawastua wababe wa Kariakoo pale wasipostuka kuna mmojawao atachomoka top 2 pale.
Kuna watu naona waliona hatari na ndio maana mechi imesogezwa, Azam wamesha jipata nao wanawapa watu mzigo wa tatu tatu plus soka safi.
 
Back
Top Bottom