Azam wanaonesha Ligi gani Ulaya? Nisije kupata hasara

Azam wanaonesha ligi ya ujerumani na ufaransa na saudi arabia.. pia kupitia espn utaona ligi ya ubelgiji na uholanzi.
 
Pia mashindano ya carabao.

Ligi ya uingereza ni game 1 tu kwa wiki, siku ya jumamosi saa 1700

Ligi ya uingereza ni dstve
 
Utv inakuwa live mkuu,
Tena leo nahivi ni mechi ya arsenal na chelsea
Basi inaoneshwa.
Sema mimi huku kitaa tanesko washafanya yao
TANESCO wanazingua sana. Mkuu Hivi ligi ya ndani tanzania Bara wanaonesha channel gani
 
Wanaonesha LIGUE ONE ila LALIGA hawaoneshi. Walivyoshindwa LALIGA ndio wakakimbilia Bundesliga.
Sema azam waweke mpunga wa kutosha kwenye haya ma mikataba ya kurusha mpira.
Wazungu hawapendi janjajanja.
Ukizingua wanakupiga chini.

DSTV wamefanikiwa kwenye soka sababu wana vitabia vya kizungu
 
Vitabia gani mkuu
 
Azam Tpl, ligue 1, bundesliga na saudia liague
Dstv la liga serie A elp na uefa kupanga ni kuchagua
 
Azam wanaonesha ligi ya ujerumani na ufaransa na saudi arabia.. pia kupitia espn utaona ligi ya ubelgiji na uholanzi.
Pia mashindano ya carabao.
Ligi ya uingereza ni game 1 tu kwa wiki, siku ya jumamosi saa 1700

Ligi ya uingereza ni dstve
Aha pamoja mkuu tukutane apo juma 3 sa 13 na 30 jioni
 
Back
Top Bottom