Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Hakuna king'amuzi chochote nchini kitakacho kuonyesha ligi kuu ya England pamoja na Ligi kuu ya Tanzania ni either ununue ving'amuzi viwili yaani Azam na Dstv au uchague upate kimoja ukose kingneLengo nione ligi ya ulaya kama England na ligi kuu hapa Tanzania, hawa jamaa hapa dukani kwao wauza madishi siwaamini nataka ninunue dishi. Au la ninunue dstv