Nadhani bado hajapata haki ya kurusha matangazo ya mpira wa eplSasa kwanini asioneshe? Kuna mapatano fulani?
Kuna ligue one na laliga walikuwa wanaoneshaAzam - Bundesliga, Ligi ya Tanzania, Saudi Arabia
DSTV- HAKUNA LIGI YA TANZANIA
Wanaonesha LIGUE ONE ila LALIGA hawaoneshi. Walivyoshindwa LALIGA ndio wakakimbilia Bundesliga.Kuna ligue one na laliga walikuwa wanaonesha
TANESCO wanazingua sana. Mkuu Hivi ligi ya ndani tanzania Bara wanaonesha channel ganiUtv inakuwa live mkuu,
Tena leo nahivi ni mechi ya arsenal na chelsea
Basi inaoneshwa.
Sema mimi huku kitaa tanesko washafanya yao
Kumbe walishindwana.Wanaonesha LIGUE ONE ila LALIGA hawaoneshi. Walivyoshindwa LALIGA ndio wakakimbilia Bundesliga.
Kuna azam sports 1 ,2,3 yoyote kati ya hizo mechi inaweza kuoneshwaTANESCO wanazingua sana. Mkuu Hivi ligi ya ndani tanzania Bara wanaonesha channel gani
Chukua Dstv utanishukuruLengo nione Ligi ya Ulaya kama England na Ligi Kuu hapa Tanzania.
Hawa jamaa hapa dukani kwao wauza madishi siwaamini, nataka ninunue dishi. Au la ninunue DStv?
Sema azam waweke mpunga wa kutosha kwenye haya ma mikataba ya kurusha mpira.Wanaonesha LIGUE ONE ila LALIGA hawaoneshi. Walivyoshindwa LALIGA ndio wakakimbilia Bundesliga.
Vitabia gani mkuuSema azam waweke mpunga wa kutosha kwenye haya ma mikataba ya kurusha mpira.
Wazungu hawapendi janjajanja.
Ukizingua wanakupiga chini.
DSTV wamefanikiwa kwenye soka sababu wana vitabia vya kizungu
Aha pamoja mkuu tukutane apo juma 3 sa 13 na 30 jioniAzam wanaonesha ligi ya ujerumani na ufaransa na saudi arabia.. pia kupitia espn utaona ligi ya ubelgiji na uholanzi.
Pia mashindano ya carabao.
Ligi ya uingereza ni game 1 tu kwa wiki, siku ya jumamosi saa 1700
Ligi ya uingereza ni dstve
No kona kona nyingi yaani yes ni yes no ni no hakuna cha yesnoVitabia gani mkuu
Ligi ya ujerumani ni bundersliga. Laliga ni ligi ya hispaniaLigi ya ujerumani ndo ya laliga?
[emoji28][emoji28][emoji28]No kona kona nyingi yaani yes ni yes no ni no hakuna cha yesno
[emoji28][emoji28][emoji28]No kona kona nyingi yaani yes ni yes no ni no hakuna cha yesno
56,000/=TshsDstv cha compact bei gani?
Bei ya dishi ilo56,000/=Tshs
Hapana ni ya spain...Ligi ya ujerumani ndo ya laliga?