Azam wanaonesha Ligi gani Ulaya? Nisije kupata hasara

Lengo nione ligi ya ulaya kama England na ligi kuu hapa Tanzania, hawa jamaa hapa dukani kwao wauza madishi siwaamini nataka ninunue dishi. Au la ninunue dstv
Hakuna king'amuzi chochote nchini kitakacho kuonyesha ligi kuu ya England pamoja na Ligi kuu ya Tanzania ni either ununue ving'amuzi viwili yaani Azam na Dstv au uchague upate kimoja ukose kingne
 
Hakuna king'amuzi chochote nchini kitakacho kuonyesha ligi kuu ya England pamoja na Ligi kuu ya Tanzania ni either ununue ving'amuzi viwili yaani Azam na Dstv au uchague upate kimoja ukose kingne
Aisee
 
Natumia Azam ila kama unataka burdani basi Dstv wako vizuri Azam ukisikia local ni local kweli matukio Yao mengi ni ya hapahapa na bei ni Kali
 
Lengo nione Ligi ya Ulaya kama England na Ligi Kuu hapa Tanzania.

Hawa jamaa hapa dukani kwao wauza madishi siwaamini, nataka ninunue dishi. Au la ninunue DStv?
Chukua chuma cha DSTV mkuu hyo ni ya kimataifa,

Binafc list yng namba 1.DSTV
2.Startimes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…