Azam wanazidi kujiimarisha taratibu

Azam wanazidi kujiimarisha taratibu

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Mtaani kunazungumzwa usajili wa timu mbili zaidi za Simba na Yanga lakini kuna timu ya Azam FC ambayo usajili wake siyo kwa Mashindano ya ndani kama wengine wasemavyo.

Usajili huu wa Azam FC unakwenda kuandika Historia nyingine tena Kimataifa kama walivyofanya Yanga.

Lakini pia usijeshangaa kuwaona Azam FC wakikalia kiti cha Ubingwa msimu ujao.

64d849f6fd72490abe0e428bfba5cda6_357498158_651235553220191_3994114014635170772_n.jpg
 
Azam itafanya vizuri tu siku itakapomiliki mashabiki kama wale wa timu za Yanga na Makolo.

Kinyume na hapo, hata wasajili wachezaji kutoka Sayari ya Mars, bado wataishia kuwa majeruhi, na pia kupata vitambi.
 
na siyo hivyo tu itafanikiwa siku ambayo,viongozi wake wa juu,wataacha usimba
 
Azam itafanya vizuri tu siku itakapomiliki mashabiki kama wale wa timu za Yanga na Makolo.

Kinyume na hapo, hata wasajili wachezaji kutoka Sayari ya Mars, bado wataishia kuwa majeruhi, na pia kupata vitambi.
Ilipochukua ubingwa ligii kuu Tanzania bara ilikuwa na mashabiki Kama wa Simba na Yanga?
 
Mtaani kunazungumzwa usajili wa timu mbili zaidi za Simba na Yanga lakini kuna timu ya Azam FC ambayo usajili wake siyo kwa Mashindano ya ndani kama wengine wasemavyo.

Usajili huu wa Azam FC unakwenda kuandika Historia nyingine tena Kimataifa kama walivyofanya Yanga.

Lakini pia usijeshangaa kuwaona Azam FC wakikalia kiti cha Ubingwa msimu ujao.

View attachment 2678881
Leo Wana friendly match na Esperance..saa ngapi na je Azam tv wataonyesha?
 
Sasa kama ni ubingwa wa kubahatisha, mbona hata Mtibwa naye amechukua!
Prison,Tukuyu Stars na Africa Sports pia ziliwahichukua na kubakia kuwa historia tu,Simba na gongowazi wataendelea ku dominate soka la bongo sana tu.
 
Back
Top Bottom