Azam ya bhakresa na nembo ovyo

Azam ya bhakresa na nembo ovyo

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,904
Reaction score
1,064
Jamani kwa muda sasa nimekuwa nikishangaa kwa nini Bhakresa kaamua kuweka nembo zenye picha za msikiti na maneno ya sara za kiarabu kwenye label za vinywaji vyake? Nilikuwa naona zile Azam Malt, vile vichupa vidogo vya mango na leo nimeona kwenye soda ya azam soda nanasina!
Naomba nieleweke kwamba lazima masuala ya dini yasiwe labeled kwenye vyakula au vinywaji.
Kwa nafasi hii napenda kuwatadharisha wakristo kuwa waangalifu wanunuapo na kutumia vinywaji hivi vya azam na pia toa tahadhali kwa wenzako kuviepuka vinywaji hivi. Ununuapo kinyaji cha azam chunguza label yao. Msikiti na maneno ya kiarabu wameweka kipicha kidogo sana ili kuwa blind watu wasione vizuri.
Kwa sababu nasema ukweli sintajali hata kama mtaniona mdini maana udini kaanzisha yeye aliyeweka label.
 
Kila mtu ana namna hasi kwenye perceiption ya vitu...sioni ulazima wa tahadhari kwa Wakristo kuhusu bidhaa tajwa ikiwa hakuna proof kwamba uwepo wa viashiria ulivyovitaja una athari kwa mtumiaji!..
 
Actually hiyo nembo ni ya kuonesha kwamba chakula ama kinywaji kilichomo ndani ni 'halaal' yani halali kuliwa na watu wanaoamini katika dini ya uislamu maana kwao kuna vyakula halali na haramu. Kama tu unavyoona nembo ya TBS kuthibitisha kwamba bidhaa ni salama ndio sawa na nembo hiyo. Angalia vyakula au vinywaji vingi vinavyotengenezwa katika nchi za kiarabu utaona hiyo nembo ya 'halaal' ila vinaweza kutumiwa na mtu yeyote awe Mkristo au wa dini nyingine
 
Sioni tatzo as long As hakulazimishi kununua, mbona kuna bidhaa zina alama ya msaraba
 
But in a multcultural environment I think is better to use common and usual language,like 'Halal' is internationally know to all people in the world,Christians,Muslims,Budha,Indu,non believers etc.
Kila mtu ana namna hasi kwenye perceiption ya vitu...sioni ulazima wa tahadhari kwa Wakristo kuhusu bidhaa tajwa ikiwa hakuna proof kwamba uwepo wa viashiria ulivyovitaja una athari kwa mtumiaji!..
 
Ila ukinunua simu za kichina ambazo baadhi zina herufi za kiarabu kwenye keypad huoni tabu au ukipanda fly emirates au qatar airways ambazo ubavuni zimeandikwa kiarabu kwako sio tatizo au nazo utazikwepa?acha udini na usiharibu biashara za watu ametumia nguvu,hela na muda wake mwingi kufika hapo alipo usimuharibie bila ya sababu za msingi
 
Sijaona hoja ya kunishawishi. Bado nitaendelea kuwataahalisha wenzangu mimi wasitumie vinywaji hivyo. Fumbo mfumbie mjinga... Kumbuka hatuko nchi ya kiarabu hapa. Tuko Tanzania. Mie sio mdini mdini ni aliyeweka udini kwa kitu ananiuzia!
Kaa mbali na vinywaji vya Bakresa.
 
Upumbavu ni mzigo wa aliyenao. We sema huna hela ya kununua Azam Cola au umezoea madafu.

Tena usihusishe Ukristo na Upuuzi wako. Kama umetumwa kuharibu biashara za watu fanya hivyo kwa jina la babaako na sio kwa jina la Ukristo. Na ningekuwa jirani yako siku ukifa ningehakikisha mwili wako huo usio na akili unapitishwa msikitini kabla ya kuzikwa
 
Sio lebel tu. Niliwahi kuona wakitangazia bidhaa yao kwenye TV kwamba ukesha kunywa ndio unapata uwezo wa kujenga msikiti. Jamaa anatumia dini yake kufanya biashara zake. Ladba hataki wasio wa dini yao wazitumie.
 
Sijaona hoja ya kunishawishi. Bado nitaendelea kuwataahalisha wenzangu mimi wasitumie vinywaji hivyo. Fumbo mfumbie mjinga... Kumbuka hatuko nchi ya kiarabu hapa. Tuko Tanzania. Mie sio mdini mdini ni aliyeweka udini kwa kitu ananiuzia!
Kaa mbali na vinywaji vya Bakresa.

Kama huna hela ya kununua kaa kimya usitafute sababu so hutak kisa kimeandikwa kiarabu mbona zingine zimeandikwa kichina na hapa hatuko china,zingine kiingereza na hapa sio UK na huzilalamikii!!
 
Sijaona hoja ya kunishawishi. Bado nitaendelea kuwataahalisha wenzangu mimi wasitumie vinywaji hivyo. Fumbo mfumbie mjinga... Kumbuka hatuko nchi ya kiarabu hapa. Tuko Tanzania. Mie sio mdini mdini ni aliyeweka udini kwa kitu ananiuzia!
Kaa mbali na vinywaji vya Bakresa.

Arsenal-03_tcm233-798975.jpg

Hapo ni North London mkuu, na hilo ni lango kuu linalopitisha Wakristo weeeeengi kuzama ndani ya Emirates Stadium kwenda kucheki Diaby, Bacary Sagna na Chamakh, wakichezea mpira kwa mbwembwe.

Inawezekana huyaoni vizuri

images

Ukipanda Qatar Airways, Gulf Air, Emirates, Turkish Airlines lazima ukutane na maandishi ya Kiarabu kwenye bidhaa na hata Visual Safety Presentation.

Acha akili za kijinga, Wakristo hatujafundishwa ujinga mkuu. Waombe mods wakusaidie kufuta hii mada yako inayotaka kuharibu biashara za watu. Ukimharibia Bakhresa, unaharibu uchumi wa nchi na uchumi wa maelfu walioajiriwa naye.
 
hakuna aliye lazimishwa Anunue hizi bidhaa. hawa jamaa ni wadini sijapata kuona. tengeneza vyako uweke msalaba.
 
Ila ukinunua simu za kichina ambazo baadhi zina herufi za kiarabu kwenye keypad huoni tabu au ukipanda fly emirates au qatar airways ambazo ubavuni zimeandikwa kiarabu kwako sio tatizo au nazo utazikwepa?acha udini na usiharibu biashara za watu ametumia nguvu,hela na muda wake mwingi kufika hapo alipo usimuharibie bila ya sababu za msingi

yeye hajaongelea lugha bali ameongelea msikiti. mia
 
hakuna aliye lazimishwa Anunue hizi bidhaa. hawa jamaa ni wadini sijapata kuona. tengeneza vyako uweke msalaba.

hahahaaa...!!!.umenikumbusha mbali. nlikua zangu seheemui nimekaa jamaa alikua anakarabati duka lake la dawa baridi, katika kupaka rangi ukutani akachora nembo ya red cross. jamaa niliyekuwa naye akanambia. hawa wakristo wadini sana! hata hospital wanaleta mambo ya misaraba!?. nikagundua ni mbumbumbu. mia
 
Na haya mabasi ya mikoani yanayoweka nyimbo za dini waislamu wagome kuyapanda?
Sidhani kama lengo la Bakhresa ni kutukwaza sisi wenye imani tofauti na yake bali amefanya kile kimpendezacho yeye na Mungu wa Imani yake.
Binafsi siyo muumini wa hizi sera za dini na mtu yeyote awe huru kufanya kimpendezacho yeye na Mungu wake alimradi haikashifu wala kubeza imani ya mwenzake.
 
It is difficult to operate with a shallow minded people. You have to learn to read between the lines. Islamic and Christianity are faith born into somebody's mind (soul). As long as it meets his religious belief system what is wrong with the label.
Tuwe makini na kuzungumza/chat na watu wenye upeo mdogo.
 
Jamani kwa muda sasa nimekuwa nikishangaa kwa nini Bhakresa kaamua kuweka nembo zenye picha za msikiti na maneno ya sara za kiarabu kwenye label za vinywaji vyake? Nilikuwa naona zile Azam Malt, vile vichupa vidogo vya mango na leo nimeona kwenye soda ya azam soda nanasina!
Naomba nieleweke kwamba lazima masuala ya dini yasiwe labeled kwenye vyakula au vinywaji.
Kwa nafasi hii napenda kuwatadharisha wakristo kuwa waangalifu wanunuapo na kutumia vinywaji hivi vya azam na pia toa tahadhali kwa wenzako kuviepuka vinywaji hivi. Ununuapo kinyaji cha azam chunguza label yao. Msikiti na maneno ya kiarabu wameweka kipicha kidogo sana ili kuwa blind watu wasione vizuri.
Kwa sababu nasema ukweli sintajali hata kama mtaniona mdini maana udini kaanzisha yeye aliyeweka label.
c lazima upost kama huna la maana nyie ndio mliokimbia makanisa ya maana mkafata viini macho uko mitaani sasa hamjitambui manake mmetoa sadaka mpaka mmeshafilisika huku wenzenu wakitembelea ma vogue na ma hammer poor uuu.
 
Sio lvbel tu. Niliwahi kuona wakitangazia bidhaa yao kwenye TV kwamba ukesha kunywa ndio unapata uwezo wa kujenga msikiti. Jamaa anatumia didni yake kufanya biashara zake. Ladba haataki wasio wa dini yao wasitumie.

Mwenzio nimeshapiga chini kila bidhaa ya Bakresa iliyo na nembo ya kidini. Mie sio mjinga kama baadhi mnavyotaka kumaanisha na ninajua baadhi ya bidhaa zake hazina nembo hiyo, hizo mie sina shida nazo nazinunua wala sina ugomvi bali ugomvi wa ngu uko kwenye hizi zenye udini.
Au mnataka niseme zaidi?
 
Kaa la Moto namshukuru Mungu situmii products hizo zenye ubora hafifu
Jamani kwa muda sasa nimekuwa nikishangaa kwa nini Bhakresa kaamua kuweka nembo zenye picha za msikiti na maneno ya sara za kiarabu kwenye label za vinywaji vyake? Nilikuwa naona zile Azam Malt, vile vichupa vidogo vya mango na leo nimeona kwenye soda ya azam soda nanasina!
Naomba nieleweke kwamba lazima masuala ya dini yasiwe labeled kwenye vyakula au vinywaji.
Kwa nafasi hii napenda kuwatadharisha wakristo kuwa waangalifu wanunuapo na kutumia vinywaji hivi vya azam na pia toa tahadhali kwa wenzako kuviepuka vinywaji hivi. Ununuapo kinyaji cha azam chunguza label yao. Msikiti na maneno ya kiarabu wameweka kipicha kidogo sana ili kuwa blind watu wasione vizuri.
Kwa sababu nasema ukweli sintajali hata kama mtaniona mdini maana udini kaanzisha yeye aliyeweka label.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom