Juma mpilly
Member
- Apr 23, 2012
- 41
- 24
huyu jamaa anamiumiza kichwa bure. huyu ni mdini halafu ni mbulula!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wa dubai sio wadini kama wa tz..![]()
Hapo ni North London mkuu, na hilo ni lango kuu linalopitisha Wakristo weeeeengi kuzama ndani ya Emirates Stadium kwenda kucheki Diaby, Bacary Sagna na Chamakh, wakichezea mpira kwa mbwembwe.
Inawezekana huyaoni vizuri
![]()
Ukipanda Qatar Airways, Gulf Air, Emirates, Turkish Airlines lazima ukutane na maandishi ya Kiarabu kwenye bidhaa na hata Visual Safety Presentation.
Acha akili za kijinga, Wakristo hatujafundishwa ujinga mkuu. Waombe mods wakusaidie kufuta hii mada yako inayotaka kuharibu biashara za watu. Ukimharibia Bakhresa, unaharibu uchumi wa nchi na uchumi wa maelfu walioajiriwa naye.
Kila mtu ana namna hasi kwenye perceiption ya vitu...sioni ulazima wa tahadhari kwa Wakristo kuhusu bidhaa tajwa ikiwa hakuna proof kwamba uwepo wa viashiria ulivyovitaja una athari kwa mtumiaji!..
![]()
Hapo ni North London mkuu, na hilo ni lango kuu linalopitisha Wakristo weeeeengi kuzama ndani ya Emirates Stadium kwenda kucheki Diaby, Bacary Sagna na Chamakh, wakichezea mpira kwa mbwembwe.
sili ibada za majini, fullstop!
Inawezekana huyaoni vizuri
![]()
Ukipanda Qatar Airways, Gulf Air, Emirates, Turkish Airlines lazima ukutane na maandishi ya Kiarabu kwenye bidhaa na hata Visual Safety Presentation.
Acha akili za kijinga, Wakristo hatujafundishwa ujinga mkuu. Waombe mods wakusaidie kufuta hii mada yako inayotaka kuharibu biashara za watu. Ukimharibia Bakhresa, unaharibu uchumi wa nchi na uchumi wa maelfu walioajiriwa naye.
Kwa ufahamu wangu nembo ya halal ni kwa nyama kwani inahitaji dua wakati wa kuchinja, kwani hata juisi pia inahitaji dua, hebu nijuzeni kuuliza Sio ujinga.
Jamani kwa muda sasa nimekuwa nikishangaa kwa nini Bhakresa kaamua kuweka nembo zenye picha za msikiti na maneno ya sara za kiarabu kwenye label za vinywaji vyake? Nilikuwa naona zile Azam Malt, vile vichupa vidogo vya mango na leo nimeona kwenye soda ya azam soda nanasina!
Naomba nieleweke kwamba lazima masuala ya dini yasiwe labeled kwenye vyakula au vinywaji.
Kwa nafasi hii napenda kuwatadharisha wakristo kuwa waangalifu wanunuapo na kutumia vinywaji hivi vya azam na pia toa tahadhali kwa wenzako kuviepuka vinywaji hivi. Ununuapo kinyaji cha azam chunguza label yao. Msikiti na maneno ya kiarabu wameweka kipicha kidogo sana ili kuwa blind watu wasione vizuri.
Kwa sababu nasema ukweli sintajali hata kama mtaniona mdini maana udini kaanzisha yeye aliyeweka label.

nimeipenda hyo,tena atutoe c wakristu kweny upuuz wake!udin hauna maana,kila mtu aamin din yake aache kufuatilia isiyomuhusu!Mungu ni mmoja jamani...Mkuu unamaana kuwa mimi muislam kupanda daladala au basi lililoandikwa YESU NI BWANA/MUNGU nakuwa nakosea eenh? Sijui unataka tuishi nchi ya namna gani wewe mpu.uzi, kama umechoka kuishi nchi yenye dini tofauti basi tafuta nchi ya imani yako tu ukakae huko mbulula wewe!!
Watu walivyokuwa wa ajabu kuniita mdini wakati aliyeweka label ya kidini kwenye prodoct zake yeye anaonekana yupo sawa hapo ndio nazidi kuwashangaa.
Ok kama mimi ni mdini niambie basis ya Bakresa kuweka label ya kidini kama sio kuwasaidia watu wa dini yake watumie bidhaa yake? Maana yake ni kwamba alihisi watu wa dini yake hawatatumia product zake kwa kuhisi sio safi kutokana na hofu ya uhalali kidini, kwa hiyo anawaondoa hofu sio? Sasa kwa nini nyie wadini mwaniita mie mdini ninaposema ukweli?
yeye hajaongelea lugha bali ameongelea msikiti. mia
Sio lebel tu. Niliwahi kuona wakitangazia bidhaa yao kwenye TV kwamba ukesha kunywa ndio unapata uwezo wa kujenga msikiti. Jamaa anatumia dini yake kufanya biashara zake. Ladba hataki wasio wa dini yao wazitumie.