Azam ya bhakresa na nembo ovyo

Azam ya bhakresa na nembo ovyo

hata mie nimeona label nyingine ya ziada, tena inaonekana inakuwa printed kenya, ni kitu kama HALAL standard wakati pia kuna tbs, sijui hii ni requirement ya nani tena kama kitu kimepata TBS stamp, hiyo nyongeza inamhusu nani tena

NA mbona Mengi ameweka kofia za maaskofu kwenye chupa zake za kilimanjaro hamkuliona hilo? na tunakunywa kwenye mahoteli na hasa kwenye seminars mbona mnaenda vitu vya kijinga hivo wakifanya maprotestants ni sawa ila waislam ni kosa! chukuwa chupa za kilimanjaro geuza chini juu angalia kuna kofia ya pengo, papa na kadhalika halafu rudi hapa uje umseme bakhresa
 
Mi nazani hayo maandishi yanatoa maelezo ya jinsigani bidhaa itumike. wakiristo wenzangu mbona hata cc tunaabudu mashetani? RC.masanamu, WAROKOLE, kupagawa mapepo na kunena rugha kinyume na BIBLIA, 1wakolinto 14:10,26-34
 
mtoa mada tafuta passport ukatoe matongo tongo nchi za ughaibuni! label ya halal food ipo kwa style nyingi sana... halal label ni special kuwatoa hofu muslims & jews ..



halal-kosher-logos.png



pia hujalazimishwa kununua...
 
ukifika china wageni wengi wanakimbilia hala restaurants ... i can only imagine weye usinge ingia hiyo resturants sababu kuna picha ya msikiti how pathetic u r



2011129-chinese-halal-restaurant.jpg




 
watu wa dubai sio wadini kama wa tz..

'umeambiwa hilo jengo liko north london kwani umeambiwa liko dubai wewee.................hebu acha kuwapotezea watu muda,nyambaaaf'
 
Ila ukinunua simu za kichina ambazo baadhi zina herufi za kiarabu kwenye keypad huoni tabu au ukipanda fly emirates au qatar airways ambazo ubavuni zimeandikwa kiarabu kwako sio tatizo au nazo utazikwepa?acha udini na usiharibu biashara za watu ametumia nguvu,hela na muda wake mwingi kufika hapo alipo usimuharibie bila ya sababu za msingi

Tofautisha picha ya msikiti na maandishi ya kiarabu, kichina, kirusi au kiyahudi. Ikiwapo picha au alama ya msikiti kwenye product ni more serious na sisi kama walaji hatuwezi kula bila kupata majibu ya maswali au kutumia alternative products.
 
ukifika china wageni wengi wanakimbilia hala restaurants ... i can only imagine weye usinge ingia hiyo resturants sababu kuna picha ya msikiti how pathetic u r



2011129-chinese-halal-restaurant.jpg





'mawazo mtindi haya bwana yameshachacha hata ukiyapasha ni kazi bure tu'
 
mtoa mada tafuta passport ukatoe matongo tongo nchi za ughaibuni! label ya halal food ipo kwa style nyingi sana...

.


halal-kosher-logos.png



pia hujalazimishwa kununua...

Mi namuunga mkono mtoa mada najua ni mtu mwenye upeo mkubwa wa kuchambua mambo ndo maana umeona hidden things. Hata mimi amenishtua ile mbaya kwani ni only altar wine ndo huwa naona ikiwa na alama ya msalaba
 
Tofautisha picha ya msikiti na maandishi ya kiarabu, kichina, kirusi au kiyahudi. Ikiwapo picha au alama ya msikiti kwenye product ni more serious na sisi kama walaji hatuwezi kula bila kupata majibu ya maswali au kutumia alternative products.

'si uache umelazimishwa kununua wee achana navyo halaf uone kama hatouza sio...'
 
Mi namuunga mkono mtoa mada najua ni mtu mwenye upeo mkubwa wa kuchambua mambo ndo maana umeona hidden things. Hata mimi amenishtua ile mbaya kwani ni only altar wine ndo huwa naona ikiwa na alama ya msalaba

mmekosa exposure mkuu uliza wanaotembea nchi za watu .. eti halal food na restaurants nembo zao zipoje ... kama huna passport basi hata google mtoke tongotongo....

 
Kama hutaki hizo bidhaa zenye hizo nembo acha kununua hujalazimishwa na kama tatizo ni label we ibandue au ifute au funga macho ndo utumie na ukiona bado hujaridhika chukua bango ingia mtaani uandamane ny..mb..fu halafu yule aliesema Rc wanaabu masanamu!?
 
Sijaona hoja ya kunishawishi. Bado nitaendelea kuwataahalisha wenzangu mimi wasitumie vinywaji hivyo. Fumbo mfumbie mjinga... Kumbuka hatuko nchi ya kiarabu hapa. Tuko Tanzania. Mie sio mdini mdini ni aliyeweka udini kwa kitu ananiuzia!
Kaa mbali na vinywaji vya Bakresa.

We usiwe mbumbumbu wewe, neno "Halal" ni neno linalotumika dunia nzima kuhakikisha watu ( hasa waislam ambao kwao chakula lazima kihalalishwe ndio kiliwe) hawana mashaka na uhalali wa bidhaa husika. Nenda hata Uingereza kuna bidhaa ambazo hazitengenezwi na waislam ila zina hilo neno ili kuhakikisha hata wateja waislam wanatumia.
Mdau mmoja hapo juu kahoji mbona huachi kutumia simu zenye maandishi ya kiarabu au huachi kupanda Emirates.
Mbona SABUNI YA DETTOL (sina uhakika km nimeandika jina sahihi) in NEMBO YA MSALABA na watu wa dini zote hutumia? Acha ujinga wewe!
 
Kuna tofauti kati ya kiarabu na uislam.kiarabu lugha na uislam ni dini. Sasa ukiona sehemu imeandikwa kiarabu tu povu linaanza kukutoka kwa nini? Usikute bidhaa imeandikwa "ni tamu sana" kwa lugha ya kiarabu wewe mwenzangu umeisusia. Haya bwana.akili ni.........
 
MIMI NI MKRISTO, lakini nakuasa ndugu yangu ACHA UDINI na UBAGUZI, Kiarabu ni lugha tu kama kiswahili, kama hauelewi kilichoandikwa unauliza wanaojua, mbona bidhaa zilizoandikwa kichina hausemi?
BTW, Sidhani kama kuna mtu anakulazimisha kutumia bidhaa, kama nembo au maandishi yanakuchukiza unaacha unatumia zenyye misalabba au maneno yanayokufurahisha!

Word! word! word!
 
Mimi ni mkrito na ninanunua bidhaa za azam sana na nitaendelea kununua. Kama imeandikwa kiarabu haijamaanisha ni udini, hata bidhaa za kichina zina maandishi ya kichina na tunanunua. Kiarabu ni lugha kama ilivyo kiswahili na zinginezo. Miaka yote tumekua tukitumia bidhaa toka mataifa yote bila tatizo. ninachokiona kwako ni uchochezi na unataka kuleta udini kwa jambo ambalo halipo. Na wewe tengeneza zako uweke nembo unayotaka basi. but your point is pintless na haina msingi.
 
mtoa mada tafuta passport ukatoe matongo tongo nchi za ughaibuni! label ya halal food ipo kwa style nyingi sana... halal label ni special kuwatoa hofu muslims & jews ..



halal-kosher-logos.png



pia hujalazimishwa kununua...

Hivi wale kuku mnaowala kwenye vibanda vya chips wanakuwa na label gani?
 
Asante kwa kunielewa wale walionielewa watakuwa wamenielewa.
Wale wanaodhani hawanielewi endeleeni kujiita wakristo wakati hakuna anayejua dini ya mwenzie hapa na endeleeni kuleni. Mbona kuna waislamu wanaokula kiti moto huku kwetu na hatujagombana nao? Ingawa si halali kwao lakini wao wamehalalisha so?
Kilicho Halal kwako ni Halam kwangu! Na kwa sababu kila mtu anataka kula Halal basi nawambia vitu hivyo kwangu mie ni Halam kabisa na wenzangu mimi mnaochukia vitu Halam kama mimi viacheni kabisa.
 
Back
Top Bottom