mkomatembo
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 1,477
- 819
hata mie nimeona label nyingine ya ziada, tena inaonekana inakuwa printed kenya, ni kitu kama HALAL standard wakati pia kuna tbs, sijui hii ni requirement ya nani tena kama kitu kimepata TBS stamp, hiyo nyongeza inamhusu nani tena
NA mbona Mengi ameweka kofia za maaskofu kwenye chupa zake za kilimanjaro hamkuliona hilo? na tunakunywa kwenye mahoteli na hasa kwenye seminars mbona mnaenda vitu vya kijinga hivo wakifanya maprotestants ni sawa ila waislam ni kosa! chukuwa chupa za kilimanjaro geuza chini juu angalia kuna kofia ya pengo, papa na kadhalika halafu rudi hapa uje umseme bakhresa