Azam ya bhakresa na nembo ovyo

Kwa ufahamu wangu nembo ya halal ni kwa nyama kwani inahitaji dua wakati wa kuchinja, kwani hata juisi pia inahitaji dua, hebu nijuzeni kuuliza Sio ujinga.
 
Sasa na Mashirika ya ndege yenye nembo za MISALABA iweje? T-shirts zenye nembo cross Vinywaji zenye Cross iwejee ? Mkuu vipi hizo ni hiyari ya mtumiaji.... ni buisiness tactics, fahari na ushindani wa kibiashara.!!!
 
watu wa dubai sio wadini kama wa tz..
 
Kila mtu ana namna hasi kwenye perceiption ya vitu...sioni ulazima wa tahadhari kwa Wakristo kuhusu bidhaa tajwa ikiwa hakuna proof kwamba uwepo wa viashiria ulivyovitaja una athari kwa mtumiaji!..

zinaombewa kwa ibada za majini! ni hatari sana kwa mkristu kula ibada za majini!
 

sili ibada za majini, fullstop!
 
Mleta mada, umeshajaribu kuinywa ukatapika au ukaumwa? Maana kila kiingiacho kinywani ni halali bali kimtakacho mtu ni najisi. Jaribu kuinywa ukiona hujatapika, hiyo ni halali mkuu, ukitapika acha mkuu, itakuwa najisi hiyo.
Hizi imani extremist ni shida sana. Unamsalimia mtu asalam alleykum, mtu anakujibu eti yeye si muislamu, na sasa lebo inamfanya mtu akae na kiu kisa ina lebo ya msikiti.
 
Kwa ufahamu wangu nembo ya halal ni kwa nyama kwani inahitaji dua wakati wa kuchinja, kwani hata juisi pia inahitaji dua, hebu nijuzeni kuuliza Sio ujinga.

hapana c kwa nyama tu,ni chochote kile kinachoingia tumboni,halafu nembo hzo c za waislam tu hta jews pia wanawekewa nembo!huyu mleta mada hajui,anajidai anajua,amekosa tu la kupost,me ni mkristo...nimesoma maana ya hzo nembo,nikiona hyo clip ntaweka!jaman udin tuuepuke
 
kwani kitu kikiandikwa kiarabu ndio uislamu??na hayo maandishi madogo unayoisema ni nembo ya kuenesha kitu halali kuliwa,na hii kitu ni applicable in foodstaff hata ichunguze blueband utaiona,je na hiyo ni ya waislam.ndugu kabla ya kuongea chunguza kwanza utakayo yaongea na kama hauna uhakika ni bora ukakaa kimya.
 

MIMI NI MKRISTO, lakini nakuasa ndugu yangu ACHA UDINI na UBAGUZI, Kiarabu ni lugha tu kama kiswahili, kama hauelewi kilichoandikwa unauliza wanaojua, mbona bidhaa zilizoandikwa kichina hausemi?
BTW, Sidhani kama kuna mtu anakulazimisha kutumia bidhaa, kama nembo au maandishi yanakuchukiza unaacha unatumia zenyye misalabba au maneno yanayokufurahisha!
 


Mkuu unamaana kuwa mimi muislam kupanda daladala au basi lililoandikwa YESU NI BWANA/MUNGU nakuwa nakosea eenh? Sijui unataka tuishi nchi ya namna gani wewe mpu.uzi, kama umechoka kuishi nchi yenye dini tofauti basi tafuta nchi ya imani yako tu ukakae huko mbulula wewe!!
 
Huyu mtoa mada ni kilaza tu, anachotafuta ni watu wachangie thread yake ya majungu na udini tu, watu wengi wamemuelewesha lakini kakomaa tu, hivi wewe mtu mmoja kwa akili yako unaweza kushusha biashara za bakhressa? au ndio msemo ule kawaida ya asie na pesa kumchukia mwenye pesa
 
nimeipenda hyo,tena atutoe c wakristu kweny upuuz wake!udin hauna maana,kila mtu aamin din yake aache kufuatilia isiyomuhusu!Mungu ni mmoja jamani...
 

wenzio wako busy kujiuliza bakhresa kafanyaje mpaka akafika alipofika wewe uko busy kujadil msikiti kwenye label zake.

natamani wewe na wote wenye akili zinazofanana na zako mpigwe na radi mfutike kwenye uso wa dunia ili dunia iwe na amani.
Nyie ndio mnaosababisha vurugu za kipumbavu katika nchi yetu.
Inasikitisha sana.
 
yeye hajaongelea lugha bali ameongelea msikiti. mia


Acha kutetea ujinga, rudi kasome vizuri thread yake kaongea vyote msikiti na lugha pia, watu wanachangia kwanza kwenye lugha naona kuhusu msikiti watu wanaona sio inshu kwani misikiti ipo tz, ila lugha ndio kinachooneka ni kitu kigeni ndio maana watu wameconcentrate hapo kwanza.
 
Sio lebel tu. Niliwahi kuona wakitangazia bidhaa yao kwenye TV kwamba ukesha kunywa ndio unapata uwezo wa kujenga msikiti. Jamaa anatumia dini yake kufanya biashara zake. Ladba hataki wasio wa dini yao wazitumie.

NA mbona Mengi ameweka kofia za maaskofu kwenye chupa zake za kilimanjaro hamkuliona hilo? na tunakunywa kwenye mahoteli na hasa kwenye seminars mbona mnaenda vitu vya kijinga hivo wakifanya maprotestants ni sawa ila waislam ni kosa! chukuwa chupa za kilimanjaro geuza chini juu angalia kuna kofia ya pengo, papa na kadhalika halafu rudi hapa uje umseme bakhresa
 
Kwa ufahamu wangu nembo ya halal ni kwa nyama kwani inahitaji dua wakati wa kuchinja, kwani hata juisi pia inahitaji dua, hebu nijuzeni kuuliza Sio ujinga.

Hata kinywaji pia hata chocolate kwani zipo zinazotengenzwa kwa mafuta ya nguruwe na zina codes zake, ukishzijua unajiepusha tu nazo so kila kitu lazima kioneshwe kwma ni halaal au sio! hii ni imani ya mtu na mtu na sidhani ama inaaffect mtu unaweza unakunywa au kula huwezi unaacha !
 
hata mie nimeona label nyingine ya ziada, tena inaonekana inakuwa printed kenya, ni kitu kama HALAL standard wakati pia kuna tbs, sijui hii ni requirement ya nani tena kama kitu kimepata TBS stamp, hiyo nyongeza inamhusu nani tena
 
Miwivu ikizidi unakufa mwenyewe wakati mwenzio anasonga mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…