sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Najua wengi Huwa tupo busy na simba na yanga
Yanga wapo ovyo saivi ata kesho akipoteza na namungo sio surprise
Simba hawaeleweki wanacheza Nini infact wachezaji wenye uhakika wa number ni CAMARA na CHASAMBI 😎
Ila Azam ukiwaangalia wanakimbiza mwizi kimya kimya tu
Hapo bin Zayed hajacheza Bado bajana na sopu hawajarudi
Hii Azam naitabiria UBINGWA six win mfululizo
Comment ziwe za ki soccer sio mahaba na hisia