balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Juzi alipost.....Effue ****.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unasema km vile hujui Azam imewahi kushinda ubingwa wa ligi kuuFA watafanya vizuri ila ligi hawataweza maana inahitaji uvumilivu ambayo Azam huwa hawana
Inashangazana wenyewe wanashangilia... hawaoni kwamba hicho ni Kikwazo
OUVEEERCase [emoji735]
hawatishi hawa hawajajua figisi za mpira wa kibongoNa huu ndiyo ukweli wenyewe watabaki kuwa wasindikizaji tu
Kama wewe unazijua Azam ndiyo wasizijue figisu?OUVEEER
hawatishi hawa hawajajua figisi za mpira wa kibongo
kwa simba na yanga bado watasubiri sanaKama wewe unazijua Azam ndiyo wasizijue figisu?