Azam yacheza kamari kwa Bernard Morrison

Azam yacheza kamari kwa Bernard Morrison

Kipre Junior ni kiungo mshambuliaji hatari sana. Sijui ni kwa nini Azam wanamchukulia poa poa.
 
Nilimsikia CEO mtendaji mkuu WA Azam

AZAM HAWAWEZI KUWA NA MORISON NI WATU WANAOSIMAMIA MNO MAADILI.

MORISON HATAKIWI KUCHEZA TIMU YOYOTE TANZANIA.

anafanya masiara Hadi IKULU.
 
Back
Top Bottom