Azam yagomea bao la 4 huko Tunisia, yasingizia refa alikuwa na upendeleo

Azam yagomea bao la 4 huko Tunisia, yasingizia refa alikuwa na upendeleo

Azam mmefanya Jambo jema Sana. Mmetukumbusha wakati tunacheza Chandimu timu ya mwenye mpira imifungwa anachukua mpira wake na Mechi inaishia hapo hapo.
Ila mpk hapo kocha wao kweli alikua anafundisha watoto, unatoaje timu kisa refa?

Azam nidhamu ya leo msije kuileta nbcpl ,maana huku nako marefa ndimu
 
Sasa wao ni nne tu wametoa timu mbona kuna wengine wamekula kumi na saba na bado walicheza kwa dk 120 wajifunze roho ngumu..
 
Unatoa timu mech ya kirafik dhidi ya hao stade alaf CAFCC unarud hapo hapo dhid ya club africain?
 
Ndio maana Uto hawataki kusikia match za pre season, na wakicheza wanachezea uvunguni
 
wabongo walioko vingunguti kiembe mbuzi wanajua sana kuliko wenyewe walioko Tunisia
 
Aaah kumbe "mchezo wa kirafikI", sasa hii wenzetu Ulaya wanafungana goli mpaka zaidi ya 20.

Hii jamani nijuavyo si "entertainment" kwa watazamaji?

Hivi Tanzania tunachukulia "mchezo wa kirafiki" kwa u "serious" namna hii?

Makubwa!
 
Tena hizi mechi za kirafiki inatakiwa kocha asiwaingilie kabisa wachezaji, awapime tu na kuchukuwa notes, wapi na yupi akamfanyie kazi ipi.

Unawawacha wachezaji wajimwage wapendavyo.
 
Hii timu wamrudishe JEMEDARI SAIDI KAZUMARI.

BILA JEMEDARI AZAM NAFASI YA 3
Unataka upewe kazi gani pale Azam na hiyo elimu yako ya kuunga unga! Au unataka ukaigeuze timu ya watu kuwa kijiwe cha majungu na mipasho?
 
Hii imenikumbusha mbali sana miaka ya themanini na pale uhuru stadium enzi uwanja wa taifa mtu mzima Simba sc aliweka mpira kwapani na kusepa mazimaa baada kutorudi uwanjani timu zilipokwenda mapumziko. Ilibidi mwamuzi asubiri dk 15 kusubiri a Simba sc warejee kiwanjani, kumbe walishasepa kitambo. Wahenga wenzangu mtakuwa mnakumbuka kisa hiki kilichoweka historia ya kipekee kwenye mpira wetu.
 
Back
Top Bottom