Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Tena Mimi kwa maoni yangu Azzam ndio imepata pre season bora kabisa kuliko Simba na Yanga.Pre season Tu wanalalamika refa??
Yani wameoneshwa Rangi zote za Waarabu, sasa kama kweli walikwenda kujiandaa si ndio wamepata maandalizi bora kabisa, kuanzia team za Waarabu zikoje na marefa wakoje?
Kwakweli hapo sijawaelewa Azzam.