Azam yagomea bao la 4 huko Tunisia, yasingizia refa alikuwa na upendeleo

Azam yagomea bao la 4 huko Tunisia, yasingizia refa alikuwa na upendeleo

Pre season Tu wanalalamika refa??
Tena Mimi kwa maoni yangu Azzam ndio imepata pre season bora kabisa kuliko Simba na Yanga.

Yani wameoneshwa Rangi zote za Waarabu, sasa kama kweli walikwenda kujiandaa si ndio wamepata maandalizi bora kabisa, kuanzia team za Waarabu zikoje na marefa wakoje?

Kwakweli hapo sijawaelewa Azzam.
 
Azzam siyo timu ya kwanza kuweka mpira kwapani, hata Simba ilishafanya hiki kituko na kuikimbia Yanga pale shamba la bibi.
Naikumbuka sana hii kitu...hivi mikia walipewa adhabu YOYOTE?au ilikuwa funika kombe
 
Wafanye warudi uku waachane na habr za Tunis km penalt tu wanagomea uko shirikisho itakuaje .. last born wa Bongo bhna
 
Back
Top Bottom