Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ila mpk hapo kocha wao kweli alikua anafundisha watoto, unatoaje timu kisa refa?Azam mmefanya Jambo jema Sana. Mmetukumbusha wakati tunacheza Chandimu timu ya mwenye mpira imifungwa anachukua mpira wake na Mechi inaishia hapo hapo.
Azam wakikutana na CLUB AFRICANE watakula TENUnatoa timu mech ya kirafik dhidi ya hao stade alaf CAFCC unarud hapo hapo dhid ya club africain?
Ulitakiwa umalizie kwa kusema hivi; ......halafu mwisho wa msimu wanachukua vikombe vyote vya Ligi.Ndio maana Uto hawataki kusikia match za pre season, na wakicheza wanachezea uvunguni
Unataka upewe kazi gani pale Azam na hiyo elimu yako ya kuunga unga! Au unataka ukaigeuze timu ya watu kuwa kijiwe cha majungu na mipasho?Hii timu wamrudishe JEMEDARI SAIDI KAZUMARI.
BILA JEMEDARI AZAM NAFASI YA 3
Garasha hilo wameshikishwaFei anakwama wapi kuisaidia team
Hii imenikumbusha mbali sana miaka ya themanini na pale uhuru stadium enzi uwanja wa taifa mtu mzima Simba sc aliweka mpira kwapani na kusepa mazimaa baada kutorudi uwanjani timu zilipokwenda mapumziko. Ilibidi mwamuzi asubiri dk 15 kusubiri a Simba sc warejee kiwanjani, kumbe walishasepa kitambo. Wahenga wenzangu mtakuwa mnakumbuka kisa hiki kilichoweka historia ya kipekee kwenye mpira wetu.Ndio maana Uto hawataki kusikia match za pre season, na wakicheza wanachezea uvunguni
Ndo hivyo. Hata ile mechi dhidi ya KAIZER CHIEFS walichezea uvunguni.Ndio maana Uto hawataki kusikia match za pre season, na wakicheza wanachezea uvunguni