Azam yamtangaza Rachid kuwa kocha wao mpya

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Tunayo furaha kumtangaza, Rachid Taoussi, kuwa Kocha Mkuu wetu mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Taoussi, amekuja na wasaidizi wake watatu, Kocha msaidizi, Ouajou Driss, Kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na Kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui. 🇲🇦

Taoussi amewahi kuvifundisha vilabu mbalimbali Afrika vikiwemo Raja CA, RS Berkane na FAR Rabat vya Morocco…. ES Setif na Olympique Khouribga vya Algeria pamoja na timu za taifa za vijana za Morocco.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Azam FC, kocha huyo amekuja na wasaidizi wake watatu, ambao ni kocha msaidizi, Ouajou Driss, kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui.

Soma Pia:

1725734963755.png

Azam wanawapa mikataba walima matikiti.

Nimeukumbuka ugomvi wa kaduguda na yule kocha alietoka BRAZIL.

Nafikiri aliitwa dos santos.
 
Kuna jamaa alisema juzi humu
 
Tunayo furaha kumtangaza, Rachid Taoussi, kuwa Kocha Mkuu wetu mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Taoussi, amekuja na wasaidizi wake watatu, Kocha msaidizi, Ouajou Driss, Kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na Kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui. 🇲🇦

Taoussi amewahi kuvifundisha vilabu mbalimbali Afrika vikiwemo Raja CA, RS Berkane na FAR Rabat vya Morocco…. ES Setif na Olympique Khouribga vya Algeria pamoja na timu za taifa za vijana za Morocco.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Azam FC, kocha huyo amekuja na wasaidizi wake watatu, ambao ni kocha msaidizi, Ouajou Driss, kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui.

Soma Pia:

Karibu dada tausi
 
Azam hyo timu ilianzishwa na wafanyakazi wa bakhresa.baadae wakapokonywa umiliki ukaenda kwa bakhresa mwenyewe.
Sasa ile laana ya kupokonywa timu ndo matatizo yanapoanzia
 
Tunayo furaha kumtangaza, Rachid Taoussi, kuwa Kocha Mkuu wetu mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Taoussi, amekuja na wasaidizi wake watatu, Kocha msaidizi, Ouajou Driss, Kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na Kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui. 🇲🇦

Taoussi amewahi kuvifundisha vilabu mbalimbali Afrika vikiwemo Raja CA, RS Berkane na FAR Rabat vya Morocco…. ES Setif na Olympique Khouribga vya Algeria pamoja na timu za taifa za vijana za Morocco.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Azam FC, kocha huyo amekuja na wasaidizi wake watatu, ambao ni kocha msaidizi, Ouajou Driss, kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui.

Soma Pia:

Akibahatika sana atadumu kwa miezi ama 6 au 9 tu hapo Azam FC ila hawezi kumaliza Mwaka kwani kaenda kubaya.
 
Klabu ya Azam kupitia kurasa zao rasmi za mitandao ya kijamii imemtangaza, Rachid Taoussi, kuwa Kocha Mkuu mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja.
FB_IMG_1725736639009.jpg

Taoussi, amekuja na wasaidizi wake watatu, Kocha msaidizi, Ouajou Driss, Kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na Kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui. 🇲🇦🇲🇦🇲🇦

Soma Tetesi: - Rachid Taoussi kuwa kocha mpya wa Azam FC
 
Hii timu sijui ina matatizo gani? tangu aondoke Stewart haijawahi kufanya maajabu ya kutisha katika sekta ya soka
Kuna shida ya uongozi
Halafu naona chembechembe za upendeleo kwa mlengo uleeee...

Yule kocha wao waliompa ukocha msaidizi alikuwa na shida gani hadi apokwe nafasi na Dabo?
 
Back
Top Bottom