Azam yamtangaza Rachid kuwa kocha wao mpya

Azam yamtangaza Rachid kuwa kocha wao mpya

Hapo Azam watafanikiawa lengo lao la kuifunga Simba.
Waliwafukuza
Manula
Kapombe
Erasto Nyoni
Shabalala
John Boko
Israeli mwenda
Beki Wawa
Na mmoja nimemsahau

Eti kwakuwa tu walikuwa na mapenzi na Simba.
Wakampeleka Prince Dube Yanga.
Wakatunyima Feitoto Simba.
Wakitufunga Simba wanaenda kufanya Sherehe Zanzibar na tajiri mtoto Yanga lialia.
Hii laana wataishia kucheza hapa hapa tu.
Hawatakuwa na ubavu hata kuvuka raundi ya kwanza ya kombe la shirikisho maisha yao yote.
Prince Dube Alisha tamka kuwa kuna timu wanaambiwa kabisa wasiifunge.
Ni Yanga.
 
Hapo Azam watafanikiawa lengo lao la kuifunga Simba.
Waliwafukuza
Manula
Kapombe
Erasto Nyoni
Shabalala
John Boko
Israeli mwenda
Beki Wawa
Na mmoja nimemsahau

Eti kwakuwa tu walikuwa na mapenzi na Simba.
Wakqmpeleka Prince Dube Yanga.
Wakatunyima Feitoto Simba.
Wakitufunga Simba wanaenda kufanya Sherehe Zanzibar na tajiri mtoto Yanga lialia.
Hii laana wataishia kucheza hapa hapa tu.
Hawatakuwa na ubavu hata kuvuka raundi ya kwanza ya kombo la shirikisho maisha yao yote.
Prince Dube Alisha tamka kuwa kuna timu wanaambiwa kabisa wasiifunge.
Ni Yanga.
Mbumbumbu katika Moja na mbili
Azam ni Simba B
We hujui hilo
 
Azam hyo timu ilianzishwa na wafanyakazi wa bakhresa.baadae wakapokonywa umiliki ukaenda kwa bakhresa mwenyewe.
Sasa ile laana ya kupokonywa timu ndo matatizo yanapoanzia
Wangewapa hisa waanzilishi
 
Ulim
Mbumbumbu katika Moja na mbili
Azam ni Simba B
We hujui hilo
Ulimsikia Prince Dube aliposema kuwa wanaambiwa wasiifunge timu fulani ?
Unajua wanapoenda kusheherekea wakiifunga Simba ?
Ni nani anaye lipa ghalama za hiyo Sherehe?
Kwani wanashehelekeaga nini?
Au ndio wamechukua ubingwa wa ligi hapo ?
Waulize walipochukua nafasi ya pili ya ligi walienda kusheherekea wapi ?
 
Kwani Dube aliitaja ni timu ipi hiyo wasiifunge?

Haya ni maneno ya Amri Kiemba "Nilipokuwa nacheza Azam, tulikuwa tunajiandaa sana kwenye mechi ya Yanga kuliko Simba"
 
Azam na Simba ni ndugu
Waliwapa wachezaji 6 team ya kwanza mkachukua ubingwa miaka 4
Dube ndo alizuiwa asiifunge Simba timu ya Bakhresa
Azam mwakani watawapa fei toto
Mtake Nini tena mbumbumbu
 
Kwani Dube aliitaja ni timu ipi hiyo wasiifunge?

Haya ni maneno ya Amri Kiemba "Nilipokuwa nacheza Azam, tulikuwa tunajiandaa sana kwenye mechi ya Yanga kuliko Simba"
Huyo Amri kiemba alicheza lini Azam.
Mimi sikuzaliwa huo mwaka.
Ila nilimsikia Dube kwa masikio yangu kuwa walikuwa wanaambiwa wasiifunge timu fulani.
Uliona lini Azam wakiifunga Yanga wanafanya Sherehe ?
Wakiifunga Simba wanafanyia Sherehe Zanzibar na picha ninazo.
 
Aisee pole sana kwamba mwaka 2014 ulikuwa haujazaliwa? Kipindi ambacho Pascal Wawa akisajiliwa Azam pamoja na Amri Kiemba? Sasa kama 2014 hukuzaliwa kwanini unasumbua watu humu jukwaani wakati bado ni kinda sana
IMG_20240907_232242.jpg
IMG_20240907_232514.jpg
 
☪️☪️☪️☪️☪️☪️☪️☪️☪️
 
Ila Dabo ukocha sijui aliupataaje maana nilikuwa kila nikimuangalia sioni kocha,nikaamua kujilazimisha lakini nafsi bado ilikataa kuamini kama ni kocha
dabo is good, sema hana enough experience. you need experience but dabo is a genius. and very tactical. sema against yanga tu. against other teams sijui aoni.
 
Kocha amenyoa nywele kama Papaa wemba kutakua na kocha hapo au mlevi wa kindi..
 
Back
Top Bottom