Azam yamtangaza Rachid kuwa kocha wao mpya

Azam yamtangaza Rachid kuwa kocha wao mpya

Tunayo furaha kumtangaza, Rachid Taoussi, kuwa Kocha Mkuu wetu mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Taoussi, amekuja na wasaidizi wake watatu, Kocha msaidizi, Ouajou Driss, Kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na Kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui. [emoji1173]

Taoussi amewahi kuvifundisha vilabu mbalimbali Afrika vikiwemo Raja CA, RS Berkane na FAR Rabat vya Morocco…. ES Setif na Olympique Khouribga vya Algeria pamoja na timu za taifa za vijana za Morocco.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Azam FC, kocha huyo amekuja na wasaidizi wake watatu, ambao ni kocha msaidizi, Ouajou Driss, kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui.

Soma Pia:

inaonekana kigezo mojawapo cha kuwa kocha wa Azam Fc ni dini......
hawa jamaa kwa mentality hii hawawezi kufanikiwa !
 
inaonekana kigezo mojawapo cha kuwa kocha wa Azam Fc ni dini......
hawa jamaa kwa mentality hii hawawezi kufanikiwa !
Taja orodha yote ya makocha wa azam waliopita tuone wakristo wangap na waislam wangap? acha udini, watu wa mikoani mnaendekeza sana udini.
 
Azam laZima wazingatie dini

Sasa coach ni Rashid
acha ujinga wewe,kuleta udini hapa,azam makocha wangapi wakristo walishapita hapo?stewart hall,ettiene ndayiragije,joseph omog,george lwandamina,plugim b.k
ukikosa la kuandika nenda chooni ukanye
 
Back
Top Bottom