Mo energy,mo chungwa etc..mafuta ya masafi maji ya maisha etc ivi ulitaka bizaa moja tuh eehMo ni mhujumu wa uchumi. Mo ni middleman. Kazi yake ni kuimport finished products na kuziuza. Hafanyi value addition kama vile Azzam anavyofanya. Nionyeshe kampuni ya Mo inayounda finished product hapo TZ. Azzam anaunda juice, unga na kadhalika. Yaani anafanya value addition.
Zipo taasisi za kifedha zenye kutumia mfumo wa kiislamu, kama anataka anaweza kuanzisha Azam Islam Bank.Huyu jamaa ni Muislam sana sidhan kama ataanzisha au kuingia kwenye hii busness
Mama jinga sana, kwa makato yale siwezi kutumia fedha za mtandaoni. Tuone ada za Azampesa zitakuwaje. Lakini voda, tigo na wenzao wanatuumiza.Mama amesema tutumie zaidi hela za mtandaoni kupunguza gharama za kutengeneza noti mara kwa mara.
Hivi karibuni mtaanza kunyea kwenye choo cha Azam. Hata condom itakuwa ni ya Azam.mkuu usisahau pia kuna ndege za azam
Alikuwa mstaarabu na si mwarabu.Late Reginald mengi alikua muarabu wa wapi vilee ebu mnikumbushe
Ina maana uarabuni hakuna benki? Kama zipo hazitozi riba?Nilikuwa namaanisha ile issue ya kukopeshana kwa riba sijui kama ataikubali mana huyu jamaa ana sheria za kiislam sanaaa
Sisi tuna uchumi mkubwa kushinda wenu na hatuna dola bilionea kwa sababu hatuna wanyonyaji kama nyinyi.Nchi haina bilionea hata mmoja afu inakuja ongea nn hapa hao mamilionea wenu huku sisi tunawaita machawa wa mo
Nchi zote tajiri zina ma bilionea wacha kuleta maneno mbovu ww ..mo akija uko anaeza inunua kenyaSisi tuna uchumi mkubwa kushinda wenu na hatuna dola bilionea kwa sababu hatuna wanyonyaji kama nyinyi.
Shida vingozi wetu hawajui uchumi na wanaishia kuomba vimsaada binafsi kwa hao matajiri na hivyo kuwa vigumu kuwa control.Watanzania wengine wa kawaida wako wapi? Watu watatu tu ndio wanadominate uchumi wenu? Mo, Azzam, Rostam. Huoni hapo kuna shida mahali?
Hata hapa kuna bank ya azania ni ya kiislam haitoi riba hata ukikopa mzee ...labda na azam watakua kama hio azaniaIna maana uarabuni hakuna benki? Kama zipo hazitozi riba?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Broh viongozi wetu makin angalia list yao mama wa rais anaongoza mtoto naye anafuatia huoni kua wanaiba ela za wananchiShida vingozi wetu hawajui uchumi na wanaishia kuomba vimsaada binafsi kwa hao matajiri na hivyo kuwa vigumu kuwa control.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hatengenezi. Anaimport na kufanya brandingHivyo vyote hapo atakua ana import au sio View attachment 1828573View attachment 1828574
Tony254 hebu tutajie tajiri wa Kenya(wafanya biashara)...hata wawili tu wenye asili ya kiafrika.Fridge na pikipiki alizoimport sio? Huo ni ujinga. Anastahili kujenga viwanda vya kutengeneza fridge na pikipiki. Sio kuimport na kuwauzia nyie. Yaani yeye anafanya kazi ya umiddle-man.
Boss wacha kutudanganya. Mo haundi tractor. Kama anaunda sema anaunda kwenye kampuni gani tufanye google searchJamaa ana pruduce pia ana import ...kama waona ku import ni rahisi fanya ww ku import matrecta 1000 na pikipiki 1000
Huna unalo jua ingawa waeza jua sema ubishi tuh ..angalia list ya vitu anavyo tengeneza na anavyo ingiza nchini ...afu mo anauza east ,south na central africa fala wwHatengenezi. Anaimport na kufanya branding
Wacha kuota mchana wewe. Familia ya Kenyatta ni familia ya watu wengi. Mo ni mtu mmoja. Huwezi kulinganisha familia na mtu mmoja. Isitoshe Mo ana dola bilioni moja ilhali familia ya Kenyatta sidhani kama imefika dola bilioni moja.NCBA Bank....Ksh 8.5 Billion
The family owns tracts of lands.....
The family owns diary farms.....
The family is interested in hospitality.....
The family is interested in banks.....
Acha maneno maneno wewe....
Hata Moi na familia yake pia ni WAWEKEZAJI WA KUFA MTU.....
Mlikuwa na mweusi mmoja tu multimillionaire. Kwa bahati mbaya Mungu kamchukua. Nyinyi mazombie mliobaki ni bure kabisa.Late Reginald mengi alikua muarabu wa wapi vilee ebu mnikumbushe