AzamPay preps to launch AzamPesa

AzamPay preps to launch AzamPesa

Mo ni mhujumu wa uchumi. Mo ni middleman. Kazi yake ni kuimport finished products na kuziuza. Hafanyi value addition kama vile Azzam anavyofanya. Nionyeshe kampuni ya Mo inayounda finished product hapo TZ. Azzam anaunda juice, unga na kadhalika. Yaani anafanya value addition.
Mo energy,mo chungwa etc..mafuta ya masafi maji ya maisha etc ivi ulitaka bizaa moja tuh eeh
 
Late Reginald mengi alikua muarabu wa wapi vilee ebu mnikumbushe
 
Huyu jamaa ni Muislam sana sidhan kama ataanzisha au kuingia kwenye hii busness
Zipo taasisi za kifedha zenye kutumia mfumo wa kiislamu, kama anataka anaweza kuanzisha Azam Islam Bank.
 
Late Reginald mengi alikua muarabu wa wapi vilee ebu mnikumbushe
Alikuwa mstaarabu na si mwarabu.
Tatizo letu sisi huwa tunapenda kuzungumza sana na hatuwezi kutenda kinyume na hawa ndugu zetu huwa wanatenda kuliko kuzungumza.
 
Nchi haina bilionea hata mmoja afu inakuja ongea nn hapa hao mamilionea wenu huku sisi tunawaita machawa wa mo
Sisi tuna uchumi mkubwa kushinda wenu na hatuna dola bilionea kwa sababu hatuna wanyonyaji kama nyinyi.
 
Ushahid kua kenya ni nchi ya wala rushwa ni kua viongozi wao wa kisiasa ndio wanashika uchumi ..mnaongozwa na mama ngina [emoji1787]
Screenshot_20210624-161617.jpg
 
Sisi tuna uchumi mkubwa kushinda wenu na hatuna dola bilionea kwa sababu hatuna wanyonyaji kama nyinyi.
Nchi zote tajiri zina ma bilionea wacha kuleta maneno mbovu ww ..mo akija uko anaeza inunua kenya
 
Watanzania wengine wa kawaida wako wapi? Watu watatu tu ndio wanadominate uchumi wenu? Mo, Azzam, Rostam. Huoni hapo kuna shida mahali?
Shida vingozi wetu hawajui uchumi na wanaishia kuomba vimsaada binafsi kwa hao matajiri na hivyo kuwa vigumu kuwa control.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Shida vingozi wetu hawajui uchumi na wanaishia kuomba vimsaada binafsi kwa hao matajiri na hivyo kuwa vigumu kuwa control.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Broh viongozi wetu makin angalia list yao mama wa rais anaongoza mtoto naye anafuatia huoni kua wanaiba ela za wananchi
 
Fridge na pikipiki alizoimport sio? Huo ni ujinga. Anastahili kujenga viwanda vya kutengeneza fridge na pikipiki. Sio kuimport na kuwauzia nyie. Yaani yeye anafanya kazi ya umiddle-man.
Tony254 hebu tutajie tajiri wa Kenya(wafanya biashara)...hata wawili tu wenye asili ya kiafrika.
 
Jamaa ana pruduce pia ana import ...kama waona ku import ni rahisi fanya ww ku import matrecta 1000 na pikipiki 1000
Boss wacha kutudanganya. Mo haundi tractor. Kama anaunda sema anaunda kwenye kampuni gani tufanye google search
 
Hatengenezi. Anaimport na kufanya branding
Huna unalo jua ingawa waeza jua sema ubishi tuh ..angalia list ya vitu anavyo tengeneza na anavyo ingiza nchini ...afu mo anauza east ,south na central africa fala ww
 
Ana import mpaka juice na maji au sio [emoji3]..utachekwa mkuu ..unatia doa taifa lako
 
NCBA Bank....Ksh 8.5 Billion

The family owns tracts of lands.....
The family owns diary farms.....
The family is interested in hospitality.....
The family is interested in banks.....

Acha maneno maneno wewe....

Hata Moi na familia yake pia ni WAWEKEZAJI WA KUFA MTU.....
Wacha kuota mchana wewe. Familia ya Kenyatta ni familia ya watu wengi. Mo ni mtu mmoja. Huwezi kulinganisha familia na mtu mmoja. Isitoshe Mo ana dola bilioni moja ilhali familia ya Kenyatta sidhani kama imefika dola bilioni moja.
 
Late Reginald mengi alikua muarabu wa wapi vilee ebu mnikumbushe
Mlikuwa na mweusi mmoja tu multimillionaire. Kwa bahati mbaya Mungu kamchukua. Nyinyi mazombie mliobaki ni bure kabisa.
 
Back
Top Bottom