Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenyatta family dominates Kenya's resources.....Hata nashangaa kwa nini huyu jamaa hajaanzisha benki. Hio ndio industry pekee iliyobaki na soon najua ataanzisha benki au pia anaweza kununua existing bank. Yaani jamaa anadominate uchumi wenu vibaya sana.
🤣🤣🤣Jamaa cjui wana akili ggani ...ukimwambia yeye aanzishe alipe mishahara ya wafanyakazi watano tu hawezi afu mtu aliejiri maelfu ya watanzania anataka apigwe stop wtf
Ofis zake au company ziko wapiMo yuko juu ya huyo azam ..mo anauza vifaa vya umeme kuanzia majiko, pasi ,wire ,ma fridge ,nk ..mo anazo mpaka piki piki mzee
Viwanda vya mo viko wapiUpuuzi gani katetea mbona we ndio huna hoja .mtu kajenga viwanda kibao katoa ajira kibao na hujawai sikia kua ana kesi za kukwepa kodi ..sasa wazani yeye akiacha izo shughuli hao watz walioajiriwa ww utaeza kuwaajiri ..au kisa ana asili ya uarabu ndio mnaleta ubaguzi
Iko location gani iyo kampuniAngalia kampuni ya METLE kazi yake na jamaa kaisambaza nchi ngapi africa ...we ukiona mmbongo hajui viwanda vya mo bhc ujue ni shabiki wa yanga kindaki ndaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]..hio kiwanda moja ni sawa na juice zote za azam + unga aina zote za azam ..note bss mikoa mingine hukuti bizaa zake ila ukiwa dsm ndio daily utakuta
Fridge na pikipiki alizoimport sio? Huo ni ujinga. Anastahili kujenga viwanda vya kutengeneza fridge na pikipiki. Sio kuimport na kuwauzia nyie. Yaani yeye anafanya kazi ya umiddle-man.Mo yuko juu ya huyo azam ..mo anauza vifaa vya umeme kuanzia majiko, pasi ,wire ,ma fridge ,nk ..mo anazo mpaka piki piki mzee
We huko kenya matajiri wenu wameamua kuwekeza kwenye ku bet sportpesa ..utafananisha kampuni ya metle ..jua kwanza bizaa zinazozalishwa hapo afu tuone kama utarud hapa kuongea utumboFridge na pikipiki alizoimport sio? Mo ana ujinga. Anastahili kujenga viwanda vya kutengeneza fridge na pikipiki. Sio kuimport na kuwauzia nyie. Yaani yeye anafanya kazi ya umiddle-man.
Hatuna mabilionea kwa sababu sisi hatujakaliwa vichwani na waarabu kama nyinyi. Nyinyi waarabu wamewakalia vichwani. Huku Kenya tunasema "wamewakalia chapati"Alafu nyie wakenya msitupangie fala nyie kwanza mmeshindwa hata kuzzalisha mabilionea ..afu mnakuja leta porojo huku ..
mkuu usisahau pia kuna ndege za azamHuyu Muarabu si atadominate industries zote Tanzania. Kuanzia Azam tv, Azam drinks hadi sasa ameingia kwenye Azampesa. Aisee kwani Tanzania ina mwanamme mmoja tu hao wengine ni mazombie?
Which resources?Kenyatta family dominates Kenya's resources.....
Nchi haina bilionea hata mmoja afu inakuja ongea nn hapa hao mamilionea wenu huku sisi tunawaita machawa wa moHatuna mabilionea kwa sababu sisi hatujakaliwa vichwani na waarabu kama nyinyi. Nyinyi waarabu wamewakalia vichwani. Huku Kenya tunasema "wamewakalia chapati"
Mo ni mhujumu wa uchumi. Mo ni middleman. Kazi yake ni kuimport finished products na kuziuza. Hafanyi value addition kama vile Azzam anavyofanya. Nionyeshe kampuni ya Mo inayounda finished product hapo TZ. Azzam anaunda juice, unga na kadhalika. Yaani anafanya value addition.Ofis zake au company ziko wapi
NCBA Bank....Ksh 8.5 BillionWhich resources?