Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
Kama kichwa kinavyosema hapo juu, leo nimejaribu kudownload app ya Azam pesa na kujaribu kucheki gharama zao, kiukweli wana gharama ndogo sana ukilinganisha na MNO wengine, ila shida sasa ni mawakala wao đź’” hawana mawakala kabisa?
Kwanini SSB wasifanye kampeni kubwa ya kupita kila kibanda cha Mawakala kuwafungulisha uwakala wa AzamPesa? Au wanasubiri mawakala waje ofisini kwao? Naiona kama kitu kizuri sana kama wataweza kuvuka mtego wa mawakala wengi.
Ni hayo tu kwa leo