Ukiona hivi ujue Hawana Commision kubwa, ile hela unayokatwa Ukituma, ukitoa ujue na mwenye Kibanda cha Mpesa na yeye anapata pale pale, kama Azampesa haina hio ndio sababu unaona kwanini wenye Vibanda hawaikimbilii.App ile hairuhusu kuscreenshot, ila kutuma pesa kwenda mitandao yote ya simu ni bure kabisa, hukatwi hata pesa ya tozo,
Ukiona hivi ujue Hawana Commision kubwa, ile hela unayokatwa Ukituma, ukitoa ujue na mwenye Kibanda cha Mpesa na yeye anapata pale pale, kama Azampesa haina hio ndio sababu unaona kwanini wenye Vibanda hawaikimbilii.
Kwa hiyo kujiunga nao ni mpaka upakue kwanza app yao sio?App ile hairuhusu kuscreenshot, ila kutuma pesa kwenda mitandao yote ya simu ni bure kabisa, hukatwi hata pesa ya tozo,
Hata hawa unaoona wako na gharama kubwa walikuwa cheap mwanzoni...... wakati wa kupandisha gharama waja!!Kama kichwa kinavyosema hapo juu, leo nimejaribu kudownload app ya Azam pesa na kujaribu kucheki gharama zao, kiukweli wana gharama ndogo sana ukilinganisha na MNO wengine, ila shida sasa ni mawakala wao 💔 hawana mawakala kabisa?
Kwanini SSB wasifanye kampeni kubwa ya kupita kila kibanda cha Mawakala kuwafungulisha uwakala wa AzamPesa? Au wanasubiri mawakala waje ofisini kwao? Naiona kama kitu kizuri sana kama wataweza kuvuka mtego wa mawakala wengi.
Ni hayo tu kwa leo
Alimradi awe na app yao tu basi?Hapana, wana USSD code pia,
Uzuri nimependa unaweza mtumia mtu pesa bila kuwa na namba yake ya simu,
Kwani Visa na MasterCard wana line za Simu? Hizi wallet Duniani kote zipo, cha muhimu wawe creative tu.Bila kuwa na line yake mwisho wa siku atashindwa tu..., huwezi ukawa unawategemea wengine kwa miundo mbinu na nyote mnafanya kitu kilekile alafu utegemee utoe huduma cheaper kuwazidi na ufanye kwa ufanisi, hata ukifanya hivyo itakuwa ni kwa muda mfupi ili kuvutia wateja
Aisee..., Visa na MasterCard ni Payment Gateway / Processors ambapo outlet yake ni Mobile Money Operators au hata Banks through ATM wanafanya kazi na BANKS au na Mtu yoyote mwenye outlet kwa kugawana commissions.....Kwani Visa na MasterCard wana line za Simu? Hizi wallet Duniani kote zipo, cha muhimu wawe creative tu.
Kuna njia mbili either utumie APP kwa kutumia Internet kwenye Smart Phone yako AUSawa Logikos huyu Azam pesa anafanyaje kazi. Yaani bila kuwa na laini naweza kuweka na kutoa pesa?