Sasa hiyo laana na ukafir mbona waislam wengi hata wewe unao, maana una_urafiki mkubwa na wakristo wengi hapa bongo, iwe kibiashara au kushirikiana achilia mbali muunganiko wa kibiashara.Hao wanaojiita Waislam wenye uhusiano mzuri na Israel ni Makafir na ni laana tululay! Qur'an imesema kabisa usifanye urafiki na hao Makafiri. Sasa sijui ni njaa au fitna....daah! Kuona pepo ni kazi sana!
isaka hakuwa myahudi,Hivi ukafiri wa wayahudi ni upi?mbona mnawaamini mitume na manabii wa kiyahudi kama Mussa Suleiman na akina Yakobo na Isaka
kafir ni jina tu linalomaanisha ALIYEKUFURU.Sasa hiyo laana na ukafir mbona waislam wengi hata wewe unao, maana una_urafiki mkubwa na wakristo wengi hapa bongo, iwe kibiashara au kushirikiana achilia mbali muunganiko wa kibiashara.
Lakini pia (ile phase ya UPENDO inayoimbwa na baadhi yenu) but ...
Bado nashindwa kuelewa dini ya chuki, fitina na kutokuwa na urafiki na mtu asiye dini yako ni ya Mungu/mungu yupi hasa!!.
Bujibuji umenena Sawa bin Sawa. AMRI KUU NI UPENDO. Soma hapa...Mzito Kabwela, jifunze kuwapenda adui zako
Na kafir katika muktadha huo anakuwa amefanya SHIRK. Na shirk haina figisu figisu. Ni MOTONI, pepo huioni sheikh! Walmushirkna finari jehanam......kafir ni jina tu linalomaanisha ALIYEKUFURU.
Kwa wengine ukisema yesu ni mungu,halafu tena ukageuka na kudai yesu ni mtoto wa mungu,halafu dakika inayofuata tena unamwita MWANA WA ADAMU.
Hapo ndo unaqualify kuitwa umekufuru,,,yaani kafir
Salman Rushidir aliandika kitabu cha Satanic Verses, jamaa akahukumiwa kifo popote atakapoonekana.Sasa hiyo laana na ukafir mbona waislam wengi hata wewe unao, maana una_urafiki mkubwa na wakristo wengi hapa bongo, iwe kibiashara au kushirikiana achilia mbali muunganiko wa kibiashara.
Lakini pia (ile phase ya UPENDO inayoimbwa na baadhi yenu) but ...
Bado nashindwa kuelewa dini ya chuki, fitina na kutokuwa na urafiki na mtu asiye dini yako ni ya Mungu/mungu yupi hasa!!.
ni kama wale wafuasi wa balaamu,waliomkufuru jehova na kudai balaamu ndo mungu wao.Na kafir katika muktadha huo anakuwa amefanya SHIRK. Na shirk haina figisu figisu. Ni MOTONI, pepo huioni sheikh! Walmushirkna finari jehanam......
Tunaokolewa kwa neema- Mtume Pauloni kama wale wafuasi wa balaamu,waliomkufuru jehova na kudai balaamu ndo mungu wao.
Jehova alikasirika akatoa amri viongozi wa hiyo dini ya baalamu wauawe wote
we umeenda shule,acha mambo ya kukaririTunaokolewa kwa neema- Mtume Paulo
kafir ni jina tu linalomaanisha ALIYEKUFURU.
Kwa wengine ukisema yesu ni mungu,halafu tena ukageuka na kudai yesu ni mtoto wa mungu,halafu dakika inayofuata tena unamwita MWANA WA ADAMU.
Hapo ndo unaqualify kuitwa umekufuru,,,yaani kafir
Pole sana kumbe hujui lolote Yakobo ndo muasisi wa wayahudi kwa jina lingine anaitwa Israel na Musa ni muisrael kama alivyo Yesu sasa iweje mnawaamini kwamba ni mitume wa Mungu wakati mwingine mnabadilika na kuwaita Makafiriisaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria