rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
issue ya waara
issue ya waarabu na waisrael na waarabu inaanzia kwenye ugomvi wa urithi wa Ibrahim kati ya watoto wake Isaka na Ishimael wakati Isaka anadai yeye ni mrithi halali sababu alizaliwa ndani ya ndoa Ishimael alidai yeye ni mrithi halali sababu ni mtoto wa kwanza Ishimael ni uzao wa waarabu wakati Isaka ni uzao wa IsraelEsau siyo mwarabu mkuu,
anyway isaka akapata baraka kwa kudanganya,
yakobo nae akisaidiwa na mama yake wakazunguka mzee isaka,
halafu tena yakobo akarudi kwao iraq kwenda kutafuta mke wa kuoa,akamzulumu uncle wake mzee Laban mifugo yote licha ya pia kuwaoa wabinti wawili wa uncle Laban.
Sasa hizi genetics za kitapeli,zilirithiwa kizazi na kizazi mpaka leo,ndo maana utakuta leo wanapora ardhi ya wapalestina kwa kisingizio kwamba kuna kitabu kinasema mungu wao aliwapa hiyo ardhi,miaka 3000 iliyopita