Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,560
- 33,764
The 12 Tribes Of Israel?
1. Reuben, Son of Leah
2. Simeon, Son of Leah
3. Levi, Son of Leah
4. Judah, Son of Leah - lineage of Jesus Christ.
5. Dan, Son of Bilhah
6. Naphtali, Son of Bilhah
7. Gad, Son of Zilpah
8. Asher, Son of Zilpah
9. Issachar, Son of Leah
10. Zebulon, Son of Leah
Joseph, Son of Rachel - there is no tribe of Joseph.
11. Manasseh, Son of Joseph's Egyptian Wife
11. Ephraim, Son of Joseph's Egyptian Wife
12. Benjamin, Son of Rachel
(How's your math concerning the Bible's Documented 12 tribes?)
Hamna kitu hapo aisee, nilikuwa sijajua. Nimehuzunika sana sanawe umeenda shule,acha mambo ya kukariri
Hawa ni wale wa mihadhara, wanasimama na bible na kuanza kuitafsiri uwongo.hii unasimlia toka quran brother maana naona wapotosha.
Itabidi ukasome tena biblia unajua Yakobo alipiwa jina la Israel ss unapozungumzia yahudi lazima utaje Israelisaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria
Sasa mbona wengi hawahubiri haya uliyoandika. Maana wengi wanahubiri chuki na vitisho tuNi tatizo saana iwapo watu wanaongea vitu wasivyo na uhakika navyo,'Quran ni intensive book' na kila kitu kina 'Context' yake ambayo ni lazima ijulikane kabla wakati wa kuisoma.Quran haikatazi kuwa na urafiki au kwafanyia wema watu ambao si waislamu kama wengi wanavyodai,kwa sababu uislamu ni dini ya kutangazwa(missionary) sasa kama ukitaka kuuwa kila mtu nani atakusikiliza? Kumbuka hata wewe unaoita wengine kafir dini umeletewa,hivyo kuna kizazi chako kimoja kilikuwa kinaabudu mizimu au dini ambayo si uislam,na kama walioleta dini wangekuwa wanawaita hao mababu zako majina mabaya ua ya dharua wewe leo hii usingekuwa mwislamu!.
Quran ina sa surat al israa ayat 70. 'Na hakika tumewatukuza wana wa adam,.. sasa kwa nini wewe uwaongelee watu vibaya ?,pia Quran inasema Surat Al mumtahina(60), Aya no.8,'Mwenyezi Mungu hakukatazeni kuwafanyia wema na uadilifu wale ambao hawakukupigeni vita wala hawakukutoeni makwenu.Kwa hakika M/Mungu HUWAPENDA WAFANYAO HUADILIFU.
umesema levi si katika makabila 12 ya israel ndo nimekuwekea orodha hiyo.Folk what does this post of yours have to do with this thread?
isaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria
yeah,lakini wakati isaka yupo duniani neno yahudi halijakuwepo mkuu,neno hilo limeanza kuonekana kitabu cha wafalme.Itabidi ukasome tena biblia unajua Yakobo alipiwa jina la Israel ss unapozungumzia yahudi lazima utaje Israel
sawa ,lakini ujuwe neno jew limeanza kuonekana baadae sana katika kitabu kings,Yahud is a classical Arabic term which comes from a term used 11 times in the Quran to refer to descendants of Hud's community who had strayed into the worship 'Uzayr as the son of Allah. It is now ubiquitously nothing but the plural for Jew.
Uzayr - most often identified with the Judeo-Christian Ezra (عزير, 'Uzair) - is a figure mentioned in the Qur'an, in the verse 9:30, which states that he was revered by the Jews as "the son of God". Jews do not agree with this statement. Historically, Muslim scholars have interpreted this verse as referring to a small group of Jews making such a reverence.
Wewe sijui ni muislam wa wapi, Mtume Muhamad mwenyewe hakuwa muislam mpaka pale alipoterenshiwa kitabu na Mwenyezi Mungu, na waarabu wengi walikuwa wanaabudu masanamu isipokuwa baadhi ya wayahudi na wakiristo, kama yeye hakuwa na urafiki nao watu wengi waliwezaje kuukubali uislamu? Halafu sisi waislamu hatujui maana ya neno Uislam? ni Kuamini uwepo wa Mungu, kumuabudu, kuamini kuwa kuna malaika na mitume na pia kufuata maamrisho yake. Sasa sisi tunajua kuwa waislam wote ni wanaomuamini Mtume Muhamad peke yake . Muslim au Submitter ni wale wanaomwabudu Mungu. Ndio maana hata waliokuwa kabla ya Mtume Muhamad walikuwa wanaittwa waislam sio kwamba sababu walikuwa wanamuabudu Mungu Mmoja na ndio ujumbe wa mitume wote. Ndio maana kuna wakristo ambao ni waislam na wayahudi vilele maana wanauabudu Mungu mmoja.Hao wanaojiita Waislam wenye uhusiano mzuri na Israel ni Makafir na ni laana tululay! Qur'an imesema kabisa usifanye urafiki na hao Makafiri. Sasa sijui ni njaa au fitna....daah! Kuona pepo ni kazi sana!
mh,,kwahiyo umeponea chupuchupu mkuu?,hongera sana,Kama kwenda PEPONI ni kujitenga & kudhuru watu wengine kama mfanyavyo, basi hiyo PEPO yenu itakuwa ya watu wa Ajabu sana.
Sitahitaji kwenda PEPO ya namna hiyo.
Namshukuru Mungu kwa kuniepusha/kuiepusha familia yangu na hiyo PEPO, kwa kuwa wazee wangu (upande mmoja) walikuwa huko.
Asante sana.mh,,kwahiyo umeponea chupuchupu mkuu?,hongera sana,
Ni tatizo saana iwapo watu wanaongea vitu wasivyo na uhakika navyo,'Quran ni intensive book' na kila kitu kina 'Context' yake ambayo ni lazima ijulikane kabla wakati wa kuisoma.Quran haikatazi kuwa na urafiki au kwafanyia wema watu ambao si waislamu kama wengi wanavyodai,kwa sababu uislamu ni dini ya kutangazwa(missionary) sasa kama ukitaka kuuwa kila mtu nani atakusikiliza? Kumbuka hata wewe unaoita wengine kafir dini umeletewa,hivyo kuna kizazi chako kimoja kilikuwa kinaabudu mizimu au dini ambayo si uislam,na kama walioleta dini wangekuwa wanawaita hao mababu zako majina mabaya ua ya dharua wewe leo hii usingekuwa mwislamu!.
Quran ina sa surat al israa ayat 70. 'Na hakika tumewatukuza wana wa adam,.. sasa kwa nini wewe uwaongelee watu vibaya ?,pia Quran inasema Surat Al mumtahina(60), Aya no.8,'Mwenyezi Mungu hakukatazeni kuwafanyia wema na uadilifu wale ambao hawakukupigeni vita wala hawakukutoeni makwenu.Kwa hakika M/Mungu HUWAPENDA WAFANYAO HUADILIFU.
Aisee we jamaa ni mgumu kuelewa. Niliandika kuwa Levi hakupata urithi kama wenzake toka kwa Isreal. Na urithi hapa namaanisha kipande cha ardhi kama vile wale wengine 11 walivyopata. Labda nikupe sababu kwa faida yako. Ni kwamba Levi ni ukoo wa kikuhani yaani kabila lililowatoa Musa na Aaron kwa hiyo waliruhusiwa kuishi popote kati ya yale makabila 11 ili watoe huduma ya kiroho. Elungata huwa napenda kufundiswa ila naona wewe hujui vitu vingi vya Bible ndiyo maana nikakwambia usijaribu kunifundisha Bible. Bora unifundishe Koran ambayo nadhani utakuwa unaijua zaidi. Kasome tena post yangu nilivyojibu.umesema levi si katika makabila 12 ya israel ndo nimekuwekea orodha hiyo.
Ephrahim alikuwa kanichanganya na jina levi,actually ephrahim hakuwa mtoto wa jacob,sijui hapa aliqualify vipi,
ephrahim ni mtoto wa joseph aliemzaa na mke wa kimisri,kwahiyo uzao wa ephraimu ni wamisri kwanini nae akawepo katika makabila 12 ya israel?.
Na kwa hakika ni makabila 13 kama ilivyo orodha hapo,huku kabila la joseph likiwa halipo na badala yake kuna kabila za watoto wake manase na ephrahim.