Azerbaijan ni taifa pekee la Kiislam rafiki na Israel

Azerbaijan ni taifa pekee la Kiislam rafiki na Israel

umesema levi si katika makabila 12 ya israel ndo nimekuwekea orodha hiyo.
Ephrahim alikuwa kanichanganya na jina levi,actually ephrahim hakuwa mtoto wa jacob,sijui hapa aliqualify vipi,
ephrahim ni mtoto wa joseph aliemzaa na mke wa kimisri,kwahiyo uzao wa ephraimu ni wamisri kwanini nae akawepo katika makabila 12 ya israel?.
Na kwa hakika ni makabila 13 kama ilivyo orodha hapo,huku kabila la joseph likiwa halipo na badala yake kuna kabila za watoto wake manase na ephrahim.
Elungata huwezi kulelewa kwa msaada wa mtandao pekee, soma biblia. Yusufu alipata double portion kwani watoto wake Manase na Efrahim ndo walipata urithi kwani babake yusufu yaani yakobo alimpenda sana yusufu tangu akiwa mdogo, hivyo hata watoto wa yusufu, Yakobo alisema hao ni wanawe soma mwanzo 48 yote utanielea na usome mwanzo 49:22-26
 
Yahud is a classical Arabic term which comes from a term used 11 times in the Quran to refer to descendants of Hud's community who had strayed into the worship 'Uzayr as the son of Allah. It is now ubiquitously nothing but the plural for Jew.

Uzayr
- most often identified with the Judeo-Christian Ezra (عزير, 'Uzair) - is a figure mentioned in the Qur'an, in the verse 9:30, which states that he was revered by the Jews as "the son of God". Jews do not agree with this statement. Historically, Muslim scholars have interpreted this verse as referring to a small group of Jews making such a reverence.
Taarifa za mtandao huwa sio sahihi kivile kwani inategemea na chanzo cha habari
 
Wakristo wenzangu naomba tuwe wasomaji wazuri na makini wa Biblia pamoja na vitabu vya historia, katika maeneo mengi tunachangia kwa jazba na mazoea, naomba tuwe wavumilivu na makini katika kujibu hoja, huyu elungata anajibu kwa msaada wa ku google, yapo mengine yuko sahihi na mengine anapotosha kutegemea na chanzo chake cha habari.
sure nimejichanganya pale kusema ephrahim alikuwa upande wa judea,hiyo ni kutokana na bila kuconfirm kwanza na reference.
Ila kama ulivyogundua wewe,jamaa zako hawasomi bibili na kufuatilia kwa karibu ndo maana ukisema jambo kama hajalisikia anapanick kabla ya kuangalia kwanza kama kuna ukweli wa nachokisema ama la.

Mfano tu ukimwambia mtu kuwa mfalme daud alitoa nyeti zake na kuanza kuzichezea nadhani(mastbeshen) mbele ya mwanamke mmoja sikumbuki alikuwa housegal ama la ,mtu atasema ni uongo wakati imeandikwa
 
yeah,lakini wakati isaka yupo duniani neno yahudi halijakuwepo mkuu,neno hilo limeanza kuonekana kitabu cha wafalme.
Nishaeleza kuwa mwanzo wa neno yahudi ni yuda,mtoto wa jacobo,ni suala la kujiuliza tu ,kati ya isaka na yuda ,nani alikuwepo mwanzo,infact isaka wala huwezi kusema ni mwisrael,kwani waisrael ni wana wa jacobo
Sema israel ilianza na yakobo mwenyewe
 
sawa ,lakini ujuwe neno jew limeanza kuonekana baadae sana katika kitabu kings,
bado nastick palepale kuwa isaka hakuwa myahudi wala mwisrael
Hapa unapotosha. Yakobo ndio israel mwenyewe, hili jina alipewa na malaika wakati wanashindana naye usiku, akamwambia hutaitwa tena yakobo bali israel kwani umeshindana na wanadamu na Mungu nawe umeshinda
 
uko sawa tu,lakini ushawahi kusoma ama kusikia kuhusu zama za giza?
Unadhani kwanini crusade ilitokea?
Kwaiyo waislamu wamecopy zama za Giza. Una copy vipi kitu kibaya. That is why we are saying. Hata quran ni plagiarism from a bible
 
Nashukuru ndugu kwa kukerwa na huyo jamaa tafurahi sana kuwa na jirani muislamu kama wewe.
Usijali mkuu,cha muhimu ni sisi kukemea majibishano yasiyojenga yenye mlengo wa kashfa bain ya hizi dini zetu mbili.
 
Elungata huwezi kulelewa kwa msaada wa mtandao pekee, soma biblia. Yusufu alipata double portion kwani watoto wake Manase na Efrahim ndo walipata urithi kwani babake yusufu yaani yakobo alimpenda sana yusufu tangu akiwa mdogo, hivyo hata watoto wa yusufu, Yakobo alisema hao ni wanawe soma mwanzo 48 yote utanielea na usome mwanzo 49:22-26
ngoja ntaitafuta,ila kabla sijatoka hapa,najua waisrael wanafuata system ya matrilinear(spelling?)ambapo kwa mfano baba akiwa myahudi,mama akawa mmarekani then huyo mtoto wanaezaa hatakuwa myahudi.
Ila mama akiwa myahudi baba akawa mmarekani mtoto anakuwa myahudi.
Watoto wa yusuph,mama yao alikua ni mmisri,sijui sasa hapa waliweza vipi kuitwa wayahudi,
am out for now meen
 
Taarifa za mtandao huwa sio sahihi kivile kwani inategemea na chanzo cha habari


Sorry chanzo ni ENCYCLOPEDIA BRITANNICA vol 16 page 844 (printed 2012)

britannica-decoder-blog480.jpg
 
Hao wanaojiita Waislam wenye uhusiano mzuri na Israel ni Makafir na ni laana tululay! Qur'an imesema kabisa usifanye urafiki na hao Makafiri. Sasa sijui ni njaa au fitna....daah! Kuona pepo ni kazi sana!
Mkuu hii dunia ya leo haina waislaam wanaoishi kwa mahitaji ya quran 100% hassa viongozi na matajiri.
Ukiangalia hata hizo nchi zinazo itwa za kiislam ambazo hazina uhusiano mzuri na israel hazifuati matakwa na muongozo wa quraan.
Viongozi wengi na wananchi wake wanaishi kwa maslahi yao na maslahi ya kidunia tu.
Kuwa na uhusiano au kutokuwa na uhusiano na israel sio jibu la kutatua shida za uislam.
Sisi waislam tunahitaji kujitafakari upya na kujipanga upya jambo ambalo nadhani ni gumu kulifikia.
 
Hapa unapotosha. Yakobo ndio israel mwenyewe, hili jina alipewa na malaika wakati wanashindana naye usiku, akamwambia hutaitwa tena yakobo bali israel kwani umeshindana na wanadamu na Mungu nawe umeshinda
sikatai kuwa yakobo ni israel,tatizo ni jina yahud,anza kufuatilia kuanzia kitabu cha mwanzo,neno hilo hulikuti mpaka wafalme,ntakuja nikute majibu kwa hili baadae
 
Ni rahisi sana kwa waislam kuielewa biblia kuliko wakristo kifahamu Koran hii ni kutokana na historia ya hicho kitabu yaani koran
 
isaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria
Wewe acha kupotosha hapa jacob ndo Israel, na yuda ilijigawa na ufalme wa Israel, yuda ikawa kusini na mji mkuu ni jerusalem na Israel ikawa kaskazini mji mkuu ulikuwa Samaria, kwa hiyo judea na Israel wote ni wayahudi(waebrania), ambao ni uzao ws yakobo.
 
Ezekiel 25 God said: I will stretch out My hand against you. I will execute great vengeance on them, punishing them furiously. They shall know I am God when I wreak my vengeance on them. (What an EGO!) Her daughters shall be slaughtered on the mainland by the sword; thus they shall know I am God. I am bringing King Nebuchadnezzar against Tyre and he shall slay your daughters. He will slay your people and pull your mighty pillars to the ground. Your wealth shall be plundered, walls torn down, your houses demolished. I will put to an end thenoiseof your songs.
(Wow! Tell that to your church choir!) Never shall you rebuild. God has spoken. I will thrust you down with those in the pit. I will make you dwell in the nether lands, in the everlasting ruins, so you may never return to take your place in the land of the living. I will make you a devastation. You shall be no more. You shall be sought, but never found again, so said God.

Huyo ndo wanamwita crazy ezekiel,kwakweli huyu bwana mambo aliyoandika ukisoma unachoka kabisa,wanamwita the insane prophet,
according to godsmurder.com.
Hapa inaonekana kwa mjibu wa ezekiel mungu wa yakobo alikuwa amechoshwa na vituko vya hawa waisrael,akawalaani mazima kwa hasira.
Sasa huwa najiuliza lini waisrael walijirudi na kumpendeza mungu wa isaka na akafuta maneno yake?
 
Ezekiel 5:10-15 God said: Fathers shall eat sons, sons shall eat fathers. I’ll inflict punishment on you. You have defiled my sanctuary. I’ll cut you down, no pity, no, mercy. 1/3rd shall die of pestilence, 1/3rd will die of sword, I will scatter and pursue 1/3rd with the sword. I will send famine against you and rob you of your children. I have anger, fury and jealousy. I, God, have spoken.
Ezekiel 7:8-16 Soon, I’ll pour my fury and anger upon you. I will look upon you with no pity or mercy. He in the country shall die by the sword, pestilence and hunger will devour those in the city.
Ezekiel 9:2-8-10 Six men come with a weapon in their hands. Mark an X on the forehead of those who moan and groan of the abominations practiced within. Strike without pity or mercy and wipeout old men, youths and maidens. Defile the temple. Fill the courts with the slain. God! Will you destroy the rest of Israel? I will not show mercy, nor pity.
Ezekiel 18:3-4 God said: All lives are mine
 
sikatai kuwa yakobo ni israel,tatizo ni jina yahud,anza kufuatilia kuanzia kitabu cha mwanzo,neno hilo hulikuti mpaka wafalme,ntakuja nikute majibu kwa hili baadae
Katika hilo sijakupinga bali hapa[emoji115] nimekupa usahihi wa jina israeli
 
Ezekiel 5:10-15 God said: Fathers shall eat sons, sons shall eat fathers. I’ll inflict punishment on you. You have defiled my sanctuary. I’ll cut you down, no pity, no, mercy. 1/3rd shall die of pestilence, 1/3rd will die of sword, I will scatter and pursue 1/3rd with the sword. I will send famine against you and rob you of your children. I have anger, fury and jealousy. I, God, have spoken.
Ezekiel 7:8-16 Soon, I’ll pour my fury and anger upon you. I will look upon you with no pity or mercy. He in the country shall die by the sword, pestilence and hunger will devour those in the city.
Ezekiel 9:2-8-10 Six men come with a weapon in their hands. Mark an X on the forehead of those who moan and groan of the abominations practiced within. Strike without pity or mercy and wipeout old men, youths and maidens. Defile the temple. Fill the courts with the slain. God! Will you destroy the rest of Israel? I will not show mercy, nor pity.
Ezekiel 18:3-4 God said: All lives are mine
Sasa nimelielewa lengo lako
Kumbe upo hapa kupotosha makusudi.
UELEWE LAANA KIBIBLIA
Biblia inataja laana kama dhambi
Kumbukumbu la Torati 28:15-60
Na matokeo ya laana/dhambi ni
Magonjwa, utasa, mikosi,njaa, magonjwa yasiyotibika, mvua kutonyesha kwa wakati, tauni, mvua za kuzidi/mafuriko nk
Je? Hujalaaniwa wew?
Israel walipotenda dhambi uliadhibiwa, lakini walipotubu walisamehewa laana/dhambi.
Adhabu moja wapo ilikuwa ni kutekwa na adui zao.
Ezekiel wakati anatabiri alikuwa utumwani/uhamishoni pamoja na israel.
Walipotubu walirejeshwa nchini mwao soma ISAYA 40:1-30
Watulizeni mioyo watu wangu asema Mungu wenu. 2 semeni na moyo wa Yerusalem, kauambieni kwa sauti kuu ya kwamba vita vyake vimekwisha, uovu wake umeachili (yaani wamesamehewa)
Kwa kuwa amepokea kwa mkono wa Bwana ADHABU MARA DUFU KWA DHAMBI ZAKE ZOTE.
.
..POTOSHA TENA NIKUJIBU
 
ngoja ntaitafuta,ila kabla sijatoka hapa,najua waisrael wanafuata system ya matrilinear(spelling?)ambapo kwa mfano baba akiwa myahudi,mama akawa mmarekani then huyo mtoto wanaezaa hatakuwa myahudi.
Ila mama akiwa myahudi baba akawa mmarekani mtoto anakuwa myahudi.
Watoto wa yusuph,mama yao alikua ni mmisri,sijui sasa hapa waliweza vipi kuitwa wayahudi,
am out for now meen
Huu ni uzushi, ubin wa israel ni kwa baba haijalishi mama katoka wapi. Hata Musa alioa kwa Yethro kuhani wa Midiani
 
isaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria
Kwy kitabu ninacho amini yakobo ni israel
 
Back
Top Bottom