Azerbaijan ni taifa pekee la Kiislam rafiki na Israel

isaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria
Vipi kuhusu Daud na mwanaye Suleiman pamoja na Harun na Musa ni makafiri?mbona mnawaamini maana hao ni wayahudi au waislael
 
Hao wanaojiita Waislam wenye uhusiano mzuri na Israel ni Makafir na ni laana tululay! Qur'an imesema kabisa usifanye urafiki na hao Makafiri. Sasa sijui ni njaa au fitna....daah! Kuona pepo ni kazi sana!
Hiyo quran haisemi amlaaniye Israel alaaniye na yeye?
 
Mkuu hapa umechambua vizuri sana but kwenye thread zingine za international huwa unakuwa "shallow/Low" upstairs hadi huwa nakuona kama umeishia darsa la 7B.
 
isaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria
Hujui kitu umekaririshwa kasome vitabu
 
Salman Rushidir aliandika kitabu cha Satanic Verses, jamaa akahukumiwa kifo popote atakapoonekana.
Dini isiyo na Upendo siyo dini ya MUNGU
Mkuu kitabu chake kilikuwa na maudhui gan?
 
Wacheni kupotosha habari nchi ya Turkey, Egypt, na Jordan zina uhusiano wa kidiplomasia na Israel na pia Moroco na Tunisia wana uhusiano usio rasmi.
 
isaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria


The Book of Genesis speaks of the relationship betweenJacob and Esau, focusing on Esau's loss of his birthright to Jacob and the conflict that had spawned between their descendant nations because of Jacob's deception of their aged and blind father, Isaac, in order to receive Esau'sbirthright/blessing from Isaac.

Ebwana nimekupata vizuri, hata pale walipopigana wakiwa tumboni, mama yao alipata ujumbe kuwa Esau atakuwa wa damu na uzazi wake wote utakua wa kupigana vita. Lakini hili tungi unalopiga utamaliza lini? Maana hii chupa umeishikilia longi. Siku njema.
 
Ni tatizo saana iwapo watu wanaongea vitu wasivyo na uhakika navyo,'Quran ni intensive book' na kila kitu kina 'Context' yake ambayo ni lazima ijulikane kabla wakati wa kuisoma.Quran haikatazi kuwa na urafiki au kwafanyia wema watu ambao si waislamu kama wengi wanavyodai,kwa sababu uislamu ni dini ya kutangazwa(missionary) sasa kama ukitaka kuuwa kila mtu nani atakusikiliza? Kumbuka hata wewe unaoita wengine kafir dini umeletewa,hivyo kuna kizazi chako kimoja kilikuwa kinaabudu mizimu au dini ambayo si uislam,na kama walioleta dini wangekuwa wanawaita hao mababu zako majina mabaya ua ya dharua wewe leo hii usingekuwa mwislamu!.
Quran ina sa surat al israa ayat 70. 'Na hakika tumewatukuza wana wa adam,.. sasa kwa nini wewe uwaongelee watu vibaya ?,pia Quran inasema Surat Al mumtahina(60), Aya no.8,'Mwenyezi Mungu hakukatazeni kuwafanyia wema na uadilifu wale ambao hawakukupigeni vita wala hawakukutoeni makwenu.Kwa hakika M/Mungu HUWAPENDA WAFANYAO HUADILIFU.
 
Mkuu atakuwa mungu wa small letter.....
 
Huo ndo ukafiri wenyewe sheikh.
Kwani mkuu unaishi iran?.... maana ukifuata kitabu chenu mnatakiwa muwe peke yenu na mkiwa suni basi suni tu msiishi na shiha... ila kwa tz yetu najua na wewe utakuwa kafiri mkuu maana lazima unarafiki na una ndugu wasio waislam.....hata kazini kwako wasio dini yako uko nao au ndo wateja wako....
 
2 Wakorintho 6:14 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Msiambatane Na Wasioamini
14 Msiambatane pamoja na watu wasioamini. Kwa maana kuna uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza?
 
Yahudi ni dini israel ni kabila au nchi tuweze kutofautisha hapo.
israel sio kabila mkuu,ni jina tu la mtu aliitwa israel ikimaanisha mungu yu pamoja nae,kama sikosei,El ndo mungu,
ni sawa na jina AbdiEl =mtumishi wa mungu,
ama EmanuEl=
yahudi inatokana na jina la mtoto wa yakobo alieitwa yuda.
Ukoo wa yuda naa ephraim ndo walikuja wakajitenga na utawala wa israel kingdom baada ya mfalme solomoni kufariki ,wakaanzisha utawala wa judea.
Watu wa judea ndio wayahudi,na dini waliyofuata ndo ilikuja kujulikana kama uyahudi na mungu wao alikuwa jehova na jerusalem ikiwa ndo makao yao makuu.
Watu wa israel kingdom wao waliabudu mungu akiitwa El,makao yao makuu waliabudia BethEl(nyumba ya mungu).
Kati ya tawala hizi mbili,utawala wa israel ndo ulianza kuanguka baada ya kuvamiwa na waasyria,hawa ndo wanajulikana kama makabila 10 ya israel yaliyopotea.
Utawala wa yuda uliendelea kuwepo kwa mda kabla haujaangushwa na wababel,hiyo ndo maana dini ya kiyahudi na mungu wao jehova vikasurvive history
 
Israel ilijitahidi iwe na uhusiano na Azerbanjain kwasababu tu azerbajain imepakana na iran kule kaskazini na israel ina maintain uhusiano na azerbenjain ikiwa ni pamoja na kuwapa silaha za kisasa hao waazer,
israel imeinstall wiretapping center na vifaa mbalimbali vya kijasusi ili kuipeleleza iran.na ina kituo chake cha drone hapo Baku kwa ajili ya kufanya ujasusi iran.
Sababu ya israel kuwaweka karibu wa azerbainjain ni sawa na wanavyojitahidi kuwaweka karibu wakurdi ili baadae kama kutatokea vita kati yake na iran waweze kuyatumia maeneo hayo kuishambulia iran.
Hizo mbinu ni sawa tu na wanazotumia wairan,kuwaequip hezbollah ili kama kutatokea vita basi iran wawe na access na mpaka wa israel.
Hata hivyo azerbainjain pamoja na jeshi lake kufundisha na israel na kupewa silaha mbalimbali mwezi uliopita katika vita na armenia baada ya azerbainjain kuvamia maeneo ya Nagorno -garabakh,
azerbenjain walipata kipigo cha kutosha katika vita vya siku 4 walipoteza makomandoo 30,vifaru 24,APC 6,MLRS,helcopter 2 na armed drone 12 mpaka vita vinakuja kusimama
 
Esau siyo mwarabu mkuu,
anyway isaka akapata baraka kwa kudanganya,
yakobo nae akisaidiwa na mama yake wakazunguka mzee isaka,
halafu tena yakobo akarudi kwao iraq kwenda kutafuta mke wa kuoa,akamzulumu uncle wake mzee Laban mifugo yote licha ya pia kuwaoa wabinti wawili wa uncle Laban.
Sasa hizi genetics za kitapeli,zilirithiwa kizazi na kizazi mpaka leo,ndo maana utakuta leo wanapora ardhi ya wapalestina kwa kisingizio kwamba kuna kitabu kinasema mungu wao aliwapa hiyo ardhi,miaka 3000 iliyopita
 
Uncle Laban alimtapele Jacob mkuu, roho ya Jacob ilikuwa kwa Leah na baada ya kumtumikia uncle kwa miaka 7, still uncle alimuozesha dada yake Leah kwa Jacob. Baada ya kutumikia tena miaka mingine 7 ndiyo alimpata Leah ambae alimzalia Joseph na Benjamin.
 
ila yakobo alifanya si vizuri kukomba mifugo yote ya mzee Labani,
halafu wakati wanaondoka wakaiba na ile sanamu ya mungu aliokuwa akiabudu labani na mkewe akaificha kwenye nguo ya ndani,mzee wa watu aliwafuata na kuwasachi bila mafanikio kumbe bintie kaificha sehemu za siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…