GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Azim Dewji Wewe ni nani Tanzania hii Kuitaka Serikali isiwe inaweka wazi Mikataba yake ili wananchi tujue?
Mbona Wewe mwaka 1993 katika Fainali ya Simba SC na Stella Abidjan Uwanja wa Uhuru ( Shamba la Bibi ) ulishindwa kuificha Siri yako kuwa Uliwapa Pesa Wachezaji wa Simba SC Kipa Mohammed Mwameja, Mabeki George Masatu na Fikiri Magosso, Kiungo Hussein Marsha na Washambuliaji Jirani yangu Mbezi Makonde David Mihambo na Marehemu Edward Chumila ili wafungishe na usitoe Gari za KIA ulizowaahidi kama wakichukua Ubingwa wa Abiola Cup / Kombe la Washindi Barani Afrika?
Azim Dewji hadi hii Leo Profesa Sarungi akikuona anakulalamikia kwanini Uliisaliti Simba SC na Watanzania na haraka sana huwa unakosa majibu ya kumpa na unaanza Kumkwepa.
Azim Dewji tunajua kuwa baada ya Kufilisika kwa Madeni na laana zetu wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) sasa unajipendekeza kwa Rais Samia na CCM ili upewe Mkopo mkubwa na Tenda ndani ya Chama ukisahau kuwa hapo ni sawa unapaka tu Rangi Upepo kwani Serikali ya sasa ya Mama ( Rais ) Samia imejaa wana Yanga SC watupu na ukifanikiwa kwa hicho unachokitaka huko GENTAMYCINE kwa Makusudi naenda Kuukweka ( Kupuu ) kwa Makusudi MP 1 Lugalo Mubashara Mchana kweupe ili MP Mtani wangu Muha kutoka Kigoma Afande Victor Philipo ( Baba Evra ) aniadhibu vilivyo pamoja na MP Wenzake.
Azim Dewji acha Kiherehere sawa?