Azim Dewji acha Kujipendekeza kwa Rais Samia, wana Simba SC bado tuna Hasira nawe kwa Ulichotufanyia Uhuru Stadium 1993

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Azim Dewji Wewe ni nani Tanzania hii Kuitaka Serikali isiwe inaweka wazi Mikataba yake ili wananchi tujue?

Mbona Wewe mwaka 1993 katika Fainali ya Simba SC na Stella Abidjan Uwanja wa Uhuru ( Shamba la Bibi ) ulishindwa kuificha Siri yako kuwa Uliwapa Pesa Wachezaji wa Simba SC Kipa Mohammed Mwameja, Mabeki George Masatu na Fikiri Magosso, Kiungo Hussein Marsha na Washambuliaji Jirani yangu Mbezi Makonde David Mihambo na Marehemu Edward Chumila ili wafungishe na usitoe Gari za KIA ulizowaahidi kama wakichukua Ubingwa wa Abiola Cup / Kombe la Washindi Barani Afrika?

Azim Dewji hadi hii Leo Profesa Sarungi akikuona anakulalamikia kwanini Uliisaliti Simba SC na Watanzania na haraka sana huwa unakosa majibu ya kumpa na unaanza Kumkwepa.

Azim Dewji tunajua kuwa baada ya Kufilisika kwa Madeni na laana zetu wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) sasa unajipendekeza kwa Rais Samia na CCM ili upewe Mkopo mkubwa na Tenda ndani ya Chama ukisahau kuwa hapo ni sawa unapaka tu Rangi Upepo kwani Serikali ya sasa ya Mama ( Rais ) Samia imejaa wana Yanga SC watupu na ukifanikiwa kwa hicho unachokitaka huko GENTAMYCINE kwa Makusudi naenda Kuukweka ( Kupuu ) kwa Makusudi MP 1 Lugalo Mubashara Mchana kweupe ili MP Mtani wangu Muha kutoka Kigoma Afande Victor Philipo ( Baba Evra ) aniadhibu vilivyo pamoja na MP Wenzake.

Azim Dewji acha Kiherehere sawa?
 
Mwambieni atulie la sivyo tutayafukua Madhambi yake ya Kumbebesha Mzigo Kipa Mwameja akitokea Reading Uingereza na Mzigo mwingine Yeye na Marehemu Abbas Gulamali wakishindana Kuuza Kariakoo, Magomeni, Sinza na Kinondoni.
Aahahaaaa

Mwache atetee mkate wake wa Kila siku
 
Azim Dewji Wewe ni nani Tanzania hii Kuitaka Serikali isiwe inaweka wazi Mikataba yake ili wananchi tujue?

Mbona Wewe mwaka 1993 katika Fainali ya Simba SC na Stella Abidjan Uwanja wa Uhuru ( Shamba la Bibi ) ulishindwa kuificha Siri yako kuwa Uliwapa Pesa Wachezaji wa Simba SC Kipa Mohammed Mwameja, Mabeki George Masatu na Fikiri Magosso, Kiungo Hussein Marsha na Washambuliaji Jirani yangu Mbezi Makonde David Mihambo na Marehemu Edward Chumila ili wafungishe na usitoe Gari za KIA ulizowaahidi kama wakichukua Ubingwa wa Abiola Cup / Kombe la Washindi Barani Afrika?

Azim Dewji hadi hii Leo Profesa Sarungi akikuona anakulalamikia kwanini Uliisaliti Simba SC na Watanzania na haraka sana huwa unakosa majibu ya kumpa na unaanza Kumkwepa.

Azim Dewji tunajua kuwa baada ya Kufilisika kwa Madeni na laana zetu wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) sasa unajipendekeza kwa Rais Samia na CCM ili upewe Mkopo mkubwa na Tenda ndani ya Chama ukisahau kuwa hapo ni sawa unapaka tu Rangi Upepo kwani Serikali ya sasa ya Mama ( Rais ) Samia imejaa wana Yanga SC watupu na ukifanikiwa kwa hicho unachokitaka huko GENTAMYCINE kwa Makusudi naenda Kuukweka ( Kupuu ) kwa Makusudi MP 1 Lugalo Mubashara Mchana kweupe ili MP Mtani wangu Muha kutoka Kigoma Afande Victor Philipo ( Baba Evra ) aniadhibu vilivyo pamoja na MP Wenzake.

Azim Dewji acha Kiherehere sawa?
Azim anazeeka kiboya sana.
 
KUMEKUCHA
 
Kwahiyo umehama kawe umehamia mbezi makonde?
Tanzania yote ni yangu na Mwenyezi Mungu akipenda narudia tena Kusisitiza huku Nikijiamini kabisa kuwa Taratibu zikikamilika huenda kuanzia Mwezi ujao July au August nikayaanza Maisha mapya ndani ya Ikulu ya Rais Museveni ya Nakasero kwa Jukumu jipya kwa Mkataba wa Miaka mitatu na kama mwaka 2026 atagombea tena Urais nitakuwa nae kwa miaka yake Mitano ( 5 ) ya mwisho kama nami pia Mwenyezi Mungu atanipa Uhai mrefu na Afya Njema.

Nakuomba nawe Uniombee ili nikakuwakilishe vyema nchini Uganda kama Mtanzania Mwenzangu sawa?

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
 
Hakika.
Huu mkataba umeleta mapinduzi makubwa kwenye haki ya wananchi kutunza mali asili zao.

Bila kelele za wananchi Wabunge wasinge chukua tahadhari na umakini kwenye kuukamilisha.

Kwa kusema Serikali iwafiche mikataba wananchi bila sababu ya msingi.
Mheshimiwa Azim umekosea.

Kuficha mikataba kulisabasha ufisadi na rushwa za kutisha sana hapa nchini
siku zilizopita.

Tulishuhudia viongozi husika wa mikataba kuwekewa vijisenti vinono kama 10% zao

Wananchi wana haki ya kujua na kufuatilia manufaa ya mkataba kabla ya kuidhinishwa.

Azim wacha hizo.
 
Azim Dewji Wewe ni nani Tanzania hii Kuitaka Serikali isiwe inaweka wazi Mikataba yake ili wananchi tujue?

Mbona Wewe mwaka 1993 katika Fainali ya Simba SC na Stella Abidjan Uwanja wa Uhuru ( Shamba la Bibi ) ulishindwa kuificha Siri yako kuwa Uliwapa Pesa Wachezaji wa Simba SC Kipa Mohammed Mwameja, Mabeki George Masatu na Fikiri Magosso, Kiungo Hussein Marsha na Washambuliaji Jirani yangu Mbezi Makonde David Mihambo na Marehemu Edward Chumila ili wafungishe na usitoe Gari za KIA ulizowaahidi kama wakichukua Ubingwa wa Abiola Cup / Kombe la Washindi Barani Afrika?

Azim Dewji hadi hii Leo Profesa Sarungi akikuona anakulalamikia kwanini Uliisaliti Simba SC na Watanzania na haraka sana huwa unakosa majibu ya kumpa na unaanza Kumkwepa.

Azim Dewji tunajua kuwa baada ya Kufilisika kwa Madeni na laana zetu wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) sasa unajipendekeza kwa Rais Samia na CCM ili upewe Mkopo mkubwa na Tenda ndani ya Chama ukisahau kuwa hapo ni sawa unapaka tu Rangi Upepo kwani Serikali ya sasa ya Mama ( Rais ) Samia imejaa wana Yanga SC watupu na ukifanikiwa kwa hicho unachokitaka huko GENTAMYCINE kwa Makusudi naenda Kuukweka ( Kupuu ) kwa Makusudi MP 1 Lugalo Mubashara Mchana kweupe ili MP Mtani wangu Muha kutoka Kigoma Afande Victor Philipo ( Baba Evra ) aniadhibu vilivyo pamoja na MP Wenzake.

Azim Dewji acha Kiherehere sawa?
hiyo ya 1993 ni kweli mimi nilikuwepo na niliyaona kwa macho,aliahidi kutoa magari ya kia kwa kila mchezaji,ikabidi afanye kitu kibaya simba ishindwe,ndipo simba baadhi ya watu wamlilie Mungu,na mke wa azam akafa ndani wiki 2 tu

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Kama MNA uwezo huu kwa nini sasa msituondolee Tulia pale bungeni?

Tulia ndio rubber stamp ya majizi ya raslimali za Taifa.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
hiyo ya 1993 ni kweli mimi nilikuwepo na niliyaona kwa macho,aliahidi kutoa magari ya kia kwa kila mchezaji,ikabidi afanye kitu kibaya simba ishindwe,ndipo simba baadhi ya watu wamlilie Mungu,na mke wa azam akafa ndani wiki 2 tu

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Kwamba maombi yakafanya mke wake afariki duh sasa alikuwa na kosa gani
 
Back
Top Bottom