#COVID19 Azim Dewji amvaa Gwajima sakata la chanjo, amwambia ana akili ya kuhubiri siyo Sayansi

ana akili ya kuhubiri majitu yasiyojitambua, misukule, majitu yanapumua lakini ni kama maiti, hayajitambui
 
Wewe Dewji hivi wakati wa Mwendazake ungethubutu kusema hivyo?
 
Tunataka mumjibu Askofu Gwajima kwa majibu ya tafiti zenu mlizofanya ambazo tunajua hamna uwezo wa kufanya tafiti bali mnadandia tu, Azim Dewji acha udalali wa hizo chanjo kwenye afya zetu
 
Gwajima ni moja kati ya, watanzania wenye uchungu, muda ndio utasema tu
 
Yaani nikikumbuka ile video yake ya ngono. Yale mauno. Mzinzi mkubwa huyu.
  • Ana hela mfukoni ya kununua treni
  • Ana hela ya kuwapeleka wananchi wote wa Jimbo la Kawe Marekani na Ulaya
  • Ana hela ya kuwanunulia vijana wote wa Jimbo la Kawe maboti ya kisasa ya uvuvi.
  • Anauwezo wa kumfufua Amina Chifupa
 
Gwajima anapaswa atoke hadharani awaombe Radhi watanzania. vinginevyo atawajibika kwa kauli zake za upotoshaji wakati Taifa lipo ktk mapambano ya janga hili la korona.
 
Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana ingawa pia alikuwa na siasa mbaya sana.

Nilileta uzi hapa nikasema yeyote atakayekuwa na ujasiri wa kusimama na kuziendeleza siasa zake ana nafasi ya kufanikiwa sana kisiasa ingawa mfumo unaweza kumnyamazisha. Nadhani Rais Samia angependa kutoka katika mambo mengi ya Magufuli lakini anajua ombwe atakaloacha, yoyote anaweza kuja kuliziba ikamleta shida.

Mtu yoyote akijipanga na akawa ambitious kupata faida za kisiasa kupitia jina la Magufuli anaweza kutikisa nchi. Ila inabidi ajipange hasa maana wengi pia waliumizwa na siasa zake.
 

Kuongezea tu, Magufuli hakufanya mambo mapya sana kisiasa tofauti na ambayo CCM wamekuwa wanafanya kabla yake.

Kuongea lugha za kuwagawa Watanzania kwa matabaka na lugha za kuwatisha Watanzania kuhusu mabeberu na vibaraka wao, ni njia 'very effective' katika siasa zetu maana mifumo yetu ya jamii na elimu inatuandaa kukubali propaganda hizo.

Niamini nikikwambia, CCM wameweka pause tu kwa muda ila hawatakuja kuacha siasa za kuwagawa Watanzania kwa matabaka na kuwatisha kuhusu mabeberu.
 
Nasimama na gwajima...sichajwi Mimi...ushenzi mtupu
Toka mtoto umepigwa michanjo kibao na bado ukienda hosptalini wanakupa dawa za kutoka huko huko, eti leo hii unasema huchanjwii...
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji120][emoji120][emoji106]
 
Mbona sakata la mdogo wake hakujitoa kimaso maso kutujuza alikuwa wapi na walikubaliana nini hadi wakaibukia home kwao kupata break fast ya nguvu.
 
Baki nae hadi siku atakapo mfufua mama yake Kama alivyodai
Gwajima ana utaalamumu gani wa bailogia na kemia achilia mbali viriology ?
Nyie subirini hekaya zake Kama hutaki chanjo nani kakulazimisha?
Viriology Nini? Eti na wewe ni mtaalamu 🀣🀣🀣🀣
 
MZEE DEWJI HUYU BWANA AKISEMA.ATAKAEMPINGA NA KUSHADADIA CHANJO ANAENDA USHAURI TU WE TULIA MZEE USITUPE SHIDA KWENYE MIRATHI YAKOO
 
Nakumbuka hawa watu waliitwa GABACHORI, mimi silitumii maana sijui maana yake.

GWAJIMA alikuwa CHADEMA , alihamia CCM baada ya M-nanii wa kabila lake kumuita na kumwambia waungane na ndio maana yupo skuuma-gang inayopingana na SSH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…