raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Hawa jamaa mara nyingi kujichanganya ni wao kwa wao tuhivi hawa wahindi wamezaliwa hapa, wameishi hadi wamezeeka lakini hawajui kiswahili vizuri huwa sababu yake nini, au wanajifanyisha?
Na wao kwa wao mara nyingi utakuta ni gujarat tu mwanzo mwisho 😀😀😀😀