EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]Nasimama na gwajima...sichajwi Mimi...ushenzi mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]Nasimama na gwajima...sichajwi Mimi...ushenzi mtupu
Unaweza kuta ni mkakati wa kuzima kelele za tozo na kuhusu mbowe,kwa sasa habari imekua gwajima tozo zinaendelea kama kawaida,mbowe yupo lupango kama kawaida,chezea siasa wewe nakumbuka wakati nipo shule ya msingi enzi hizo,kulikua na soma linaitwa siasa.Hoja iliyopo mbele yetu sasa ni kuhusu chanjo na madhara yake. Askof Gwajima ametoa hoja zake kuhusu chanjo tunaomba wataalamu wajibu hoja kwani wengi wanaomshambulia kuwa hajui sayansi nao pia siyo wataalamu kama alivyo Gwajima. Tunahitaji majibu ya kitaalamu juu ya usalama wa Chanjo hizi tafadhari na si kumtishia . Ana haki ya kikatiba kutoa maoni yake.
Achana na habari ya utalamu tupa kule inawezakuwa na wewe ni mbumbumbu tu.Ni mwananchi ana haki yake kikatiba kutoa maoni.Em jibu hoja kwa hoja kama huna kaa kimya.Siyo utoe maneno ya vitisho ukafikiri kila mtu analala sebleni kwa shemeji kama wewe.Baki nae hadi siku atakapo mfufua mama yake Kama alivyodai
Gwajima ana utaalamumu gani wa bailogia na kemia achilia mbali viriology ?
Nyie subirini hekaya zake Kama hutaki chanjo nani kakulazimisha?
Sasa ndio aende kuuliza kanisani? Mbona majibu ya hayo maswali yapo na ni mepesi tuGwajima anapaswa kujibiwa kwa hoja
1) Anataka tuambiwe ni daktari yupi Tanzania amefanya thorough analysis ya kilichomo kwenye hiyo chanjo?
2) Tuambiwe chemical composition ya contents za hizo vaccine
3) Tuambiwe kama kuna/hakuna potetial side effects za hiyo vaccine leo, kesho, 30 years later
4) Tuambiwe chanjo wanayopewa wamarekani ndiyo hiyohiyo tunatakiwa kupewa sisi? Kwa mfano, kwanini tumepewa Johnson & Johnson wakati wao wanatumia zaidi AstraZeneca?!
Naona wengi wanatukana tu na kusema eti “ amuheshinu Rais na mwenyekiti”. Akili za kitumwa hizi.
Huelewi chochote. Hujui hata kuna aina ngapi za chanjo ya COVID19Sasa ndio aende kuuliza kanisani? Mbona majibu ya hayo maswali yapo na ni mepesi tu
Gwajima ni mbunge wakeYeye anaongea kama nani kwenye nchi hii huyo dewji
Gwajima sio mtumishi wa Mungu.Hajapigiwa kura huyu alipitishwa kwa njama za wizi alioushiriki kikamilifu.
Kwa hiyo huyu katika dini sii mhubiri ila ni Simioni mchawi.
Matendo ya Mitume 8:20-24
[20]Lakini Petro akamwambia, Fedha yako na ipotelee mbali pamoja nawe, kwa kuwa umedhania ya kuwa karama ya Mungu yapatikana kwa mali.
[21]Huna fungu wala huna sehemu katika jambo hili, kwa kuwa moyo wako si mnyofu mbele za Mungu.
[22]Basi, tubia uovu wako huu, ukamwombe Bwana, ili kama yamkini, usamehewe fikira hii ya moyo wako.
[23]Kwa maana nakuona u katika uchungu kama nyongo, na tena u katika kifungo cha uovu.
[24]Simoni akajibu, akasema, Niombeeni ninyi kwa Bwana, yasinifikilie mambo haya mliyosema hata moja.
Hio sio chanjo ya corona jaribu kuficha Ujinga wako
Kwani wewe ukiumwa mfano malaria unatumia dawa nawakati kufa utakufa tuHuko waliochanjwa mbona wanapata corona na kufa wanakufa tu?
Azim Dewji: Tunasema kwamba, kazi kubwa ya mkuu wa Dini ni kuongoza waumini wake sio kuwapotosha, unazungumza maneno ya kuwapotosha waumini na kuleta taharuki kwenye Jamii, hiyo haifai kabisa na isiendelee kufanyika hivyo, sisi hatutakubali.
Kwa njia moja au nyingine unawatukana waliobobea kwenye fani hiyo kwamba kamati iliundwa, waliofanya utafiti wewe unawaona hawana akili. Saa nyingine naweza kusema labda wewe ndio huna akili ya sayansi, wewe labda una akili ya kuhubiri peke yake kwa hiyo usijaribu kuwatukana wenzako.
Mwisho Azim amemwambia mchungaji Gwajima amuheshimu Rais na kiongozi wa chama ambacho kimemlea na kumpatia ubunge kwani bila chama cha CCM asingepata ubunge na wengine kama yeye hajampigia kura Gwajima bali alipigia chama.
PIA, Soma> Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama
Kwani huwezi kutoa mawazo tofauti pasi na kumtusi mtu...??Hio sio chanjo ya corona jaribu kuficha Ujinga wako