Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu labda niseme hivi....I know you're not serious. Yaani chanjo ifanyiwe utafiti kwa miezi michache, tena kwa kujaribiwa kwa sokwe halafu utuambie ni salama kwa binadamu!
You must be joking.
Nikichanja sitaambukizwa corona.??Inashangaza kumuona mbunge anaongea maneno yale....😲😲
Yaani wakitokea MANESI na MADAKTARI wetu wanahimizana kuchanjwa chanjo dhidi ya UVIKO....wanatuhimiza Raia dhidi ya chanjo hiyo basi GWAJIMA amewaombea WAFE...WAFARIKI DUNIA...."WAKUFE" Khaaa😲
Waziri wa afya ,mh.Dr.D.Gwajima ni DAKTARI KWA TAALUMA .....
Katibu mkuu Wizara ya Afya ni DAKTARI KWA TAALUMA....
Binafsi nimeshangazwa na kusikitishwa sana na kauli ya ndugu Askofu Gwajima......
It's really terrible...
Terrible....
Terrible....
#TujiandaeKuchanjwaChanjoHiyo
#AfyaZetuNiMuhimu
#NchiKwanza
#JMTMilele
#KaziInaendelea
Siyo rahisi kujibu ramli angekuwa na medical facts angejibiwa kwa facts!Mbona Kama mashambulizi dhidi ya gwajima askofu yamekua mengi Sana lakini hoja yake haijibiwi Bali anatukanwa tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Azim Dewji: Tunasema kwamba, kazi kubwa ya mkuu wa Dini ni kuongoza waumini wake sio kuwapotosha, unazungumza maneno ya kuwapotosha waumini na kuleta taharuki kwenye Jamii, hiyo haifai kabisa na isiendelee kufanyika hivyo, sisi hatutakubali.
Kwa njia moja au nyingine unawatukana waliobobea kwenye fani hiyo kwamba kamati iliundwa, waliofanya utafiti wewe unawaona hawana akili. Saa nyingine naweza kusema labda wewe ndio huna akili ya sayansi, wewe labda una akili ya kuhubiri peke yake kwa hiyo usijaribu kuwatukana wenzako.
Mwisho Azim amemwambia mchungaji Gwajima amuheshimu Rais na kiongozi wa chama ambacho kimemlea na kumpatia ubunge kwani bila chama cha CCM asingepata ubunge na wengine kama yeye hajampigia kura Gwajima bali alipigia chama.
PIA, Soma> Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama
Hata usipochanjwa unaweza USIAMBUKIZWE....Nikichanja sitaambukizwa corona.??
Chuki zinawasumbuaMbona Kama mashambulizi dhidi ya gwajima askofu yamekua mengi Sana lakini hoja yake haijibiwi Bali anatukanwa tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss, ukizungumzia wataalamu na nchi yetu, basi sahau kabisa kuhusu huo utalaamu wenyewe.Mkuu....
Kwa hiyo unadhani hizo chanjo zimeingia nchini na kuidhinishwa bila ya kufanyiwa tafiti?!!!
Je hakukuwa na SAMPLE iliyotumwa hapa nchini miezi kadhaa nyuma na kufuata mlolongo wa KUANGALIWA....Wataalamu wanajua....labda walimfanyia SOKWE.....
Nina imani serikali yetu adhimu haikukurupuka Kwani si mara ya kwanza KUPIMA UBORA WA CHANJO TOFAUTI.....
Huko waliochanjwa mbona wanapata corona na kufa wanakufa tu?Hoja iliyopo mbele yetu sasa ni kuhusu chanjo na madhara yake. Askof Gwajima ametoa hoja zake kuhusu chanjo tunaomba wataalamu wajibu hoja kwani wengi wanaomshambulia kuwa hajui sayansi nao pia siyo wataalamu kama alivyo Gwajima. Tunahitaji majibu ya kitaalamu juu ya usalama wa Chanjo hizi tafadhari na si kumtishia . Ana haki ya kikatiba kutoa maoni yake.
Ni ule ule ushamba wa wasukuma.Inashangaza kumuona mbunge anaongea maneno yale....😲😲
Yaani wakitokea MANESI na MADAKTARI wetu wanahimizana kuchanjwa chanjo dhidi ya UVIKO....wanatuhimiza Raia dhidi ya chanjo hiyo basi GWAJIMA amewaombea WAFE...WAFARIKI DUNIA...."WAKUFE" Khaaa😲
Waziri wa afya ,mh.Dr.D.Gwajima ni DAKTARI KWA TAALUMA .....
Katibu mkuu Wizara ya Afya ni DAKTARI KWA TAALUMA....
Binafsi nimeshangazwa na kusikitishwa sana na kauli ya ndugu Askofu Gwajima......
It's really terrible...
Terrible....
Terrible....
#TujiandaeKuchanjwaChanjoHiyo
#AfyaZetuNiMuhimu
#NchiKwanza
#JMTMilele
#KaziInaendelea
Biolojia ya wapi hii....Hata usipochanjwa unaweza USIAMBUKIZWE....
Kazi ya chanjo ni kupunguza KWENDA KATIKA ATHARI MBAYA ikiwa UMEPATA MAAMBUKIZI.....
Hiyo chanjo ina vidudu vinavyoitwa ADENOVIRUS... Vinapoingizwa mwilini mwako husababisha mwili kutoa KINGA dhidi ya UGONJWA wa CORONA ...kwa hiyo ukiupata huo UGONJWA mwili wako unakuwa rahisi kutoa zile kinga dhidi ya UGONJWA WA CORONA na kukuzuia usipate ATHARI KUBWA......