Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mfadhili wa zamani wa Simba SC, Azim Dewji amesema haoni maana yoyote ya kosa la Ladack Chasambi katika mechi ya Fountain Gate lizue mjadala kwa sababu alishawahi kumtaja mchezaji wa Yanga Maxi Nzengeli kama mchezaji kioo chake.
Dewji amesema yeye pia anampenda Maxi Nzengeli na ndiye mchezaji anayetamani kuona akipewa uraia wa Tanzania lakini hiyo haijabadilisha chochote kuhusu Usimba wake.
Dewji amesema yeye pia anampenda Maxi Nzengeli na ndiye mchezaji anayetamani kuona akipewa uraia wa Tanzania lakini hiyo haijabadilisha chochote kuhusu Usimba wake.