Yesu sio Issa. Huyo nabii Issa ni takataka tu za kubuni za Muhammad na Allah.Hivi kuna muislam asiemuamini Yesu a.k.a ISSA
Mtu anakaa mwanagati domo la simba, lazima mawazo yatadumaa tu ndio wanaangukia kwenye kutaka kukata shingo za wengineMtu tangu mdogo kaishi kiwalani na BOM BOM kijiwe samli lazima awe hivyo tuwasamehe sometime
Hivi mavita vita muasisi wake ni nani?Haitoshi kumuamini Yesu ila unapaswa ufuate mafundisho yake, uache mavita vita, umpende Mungu wako kwa moyo wako wote na nguvu zako zote, umpende jirani yako ujipendavyo.
Ni mtihani sana kwa Waislamu kufuata haya maagizo maana hata muasisi wa uislamu yeye hakuyafuata, aliishi maisha ya mavita vita, kusababisha mauaji ya kimbari kwa Wayahudi na kuuza watoto wao utumwani.
Hivi mavita vita muasisi wake ni nani?
Kule uarabuni wanaoshambuliwa ni kina nani?
Tunamwamini Issa bin Mariam
Sio Yesu, hata hili wenyewe mnalijua kwa kusema Issa sio Yesu
Na tunaikubali Injili sio bibilia ya vatikani iliyochongwa na gide
Kwanza walio sema kukata vichwa sio waislam maana waislam harisi ni watu wa kahi, hao ni machawa tu.Wale wa kukata shingo hawataelewa maana wao hata kitabu Chao hawasomi ni ubwabwa tu